Search results

  1. dmlabwa

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Kuna 9m kwenye mfuko wa shati hapa
  2. dmlabwa

    Flex cable for iMac mid-2011 display

    Natafuta cable kama hii hapa chini kwenye picha. If you have it tuchekiane PM
  3. dmlabwa

    Battery DELL Latitude E5450

    Natafuta battery ya Dell Latitude e5450. Any leads?
  4. dmlabwa

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    300k inapatikana aina gani na size gani?
  5. dmlabwa

    Msaada app ya kuwezesha kutumia smartphone kama modem

    Fanya USB tethering tu kama shida hasa ni kutumia simu kama modem. Ila kama unataka an app ya kujaribu app tajwa hapo juu kutoka kwa mdau!
  6. dmlabwa

    Ninunue simu ipi

    Mia ngapi hiyo mkuu?
  7. dmlabwa

    Nokia lumia 930

    Price yake ikoje mkuu?
  8. dmlabwa

    Askwar Hilonga-Mbunifu aliyeitendea haki PhD yake...

    Kuna siku alihojiwa na akasema his education means nothing to him if it can't serve his own people. Ni mtu mmoja very focused and determined. Alishinda ile BBC challenge ya innovation kwa kutumia hii innovation yake ya filter ya maji. Namkubali sana
  9. dmlabwa

    Boom J8 inagoma kucheza video za Whatsupp

    Jaribu ya media player pia, ila kwangu mara tu baada ya ku-update WhatsApp hilo tatizo lilipotea.
  10. dmlabwa

    Boom J8 inagoma kucheza video za Whatsupp

    Niliwahi kupata hiyo shida. Fungulia hizo video kutoka kwenye media. Unakuwa kama una-view media zote ulizotumiwa kisha unaicheza, usizicheze moja kwa moja kutoka kwenye ujumbe.
  11. dmlabwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Atakuwa nje kwa maximum ya game moja tu.
  12. dmlabwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Anaweza akawa mzima. Klopp bado ana imani na Moreno...ataanza tu mechi ijayo
  13. dmlabwa

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Kuna uwezekano uliiangusha hiyo simu na camera ya nyuma ikacheza ndiyo maana inafanya hivyo. Nmewahi kuoata hiyo experience kama mara mbili hivi
  14. dmlabwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hector signed a new contract with his club last week. Chances of signing him are almost gone
  15. dmlabwa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Duh. Haya mambo ya kujifunga...we sema bei mkuu
  16. dmlabwa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Natafuta Nexus 5X. Check me if you have it
  17. dmlabwa

    Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

    Watu wengi ambao hawakupitia mfumo wa TCU ndiyo wenye shida!
  18. dmlabwa

    Rais Magufuli: Kama Watalii hawataki kulipa kodi, VAT bora wasije

    Tunahitaji kujitangaza sana kitalii! Tukishajiweka vizuri hapo, nadhani hata tukiweka "kodi ya kichwa" kwa kila mtalii, watakuja tu!
  19. dmlabwa

    Msaada kuhusu hii desktop

    Ninatafuta monitor ya desktop almost kama hiyo. Iwe inasuppirt HDMI
Back
Top Bottom