Nimeikopi nakupaste hii sehemu fulani hivi:
NENO: NIDHAMU YA WOGA AU WOGA WA KINIDHAMU?
Na. M. M. Mimi Mwanakijiji
Hakuna kitu kama "nidhamu ya woga" kazini. Kinachoitwa "nidhamu ya woga" ni dalili ya watu wazembe, wasio na weledi, na ambao hawana ufanisi kazini isipokuwa hadi wasimamiwe...
HTT (Helios Towers Tanzania) ni sehemu ya kampuni iitwayo Helio Towers Africa. Hawa jamaa wapo Ghana, DRC na South Africa. Makao makuu ya Helios yapo U.K
Yule mwenyekiti wao alisema hawakutaka kumchagua mtu ambaye watakuwa na kazi ya ziada kumtetea na kujitetea wao. Sasa hawa jamaa wengine wakachukua yale yaliyoitwa mafisadi na sasa wamebaki na kazi ya kuwatetea kuwa wale sio mafisadi ila ni mfumo ! Kibao kimegeuka siku hizi siwasikii kabisa...
mashindano yenyewe yamebakia jina tu ambalo nalo linaenda kaburini!! sasa hakuna haja ya kuweka warembo kambini, siku ya tukio wanaita mnawapa gari basi...... nadhani itasaidia kupunguza gharama za kutengeneza vituko!
kazi ipo ila ni kinyume hata cha mafundisho ya dini! Am supposed to be the head of the family and that is one thing which will never be changed!!! You gals just keep on DREAMING!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.