UPENDO ni Roho/Nafsi zenye umoja/oneness wenye FURAHA, kibinadamu huwezi kuielewa, nje ya ubinadamu UPENDO ndo unauona dhahiri
Duniani tumekuja kwaajili ya kukuza UPENDO tu
Pamoja na mambo yoooooote, hakuna zawadi kubwa kutoa na kupewa kama UPENDO
UPENDO unabeba vyote, watu wenye FURAHA haijalishi tajiri au masiki ndani yao kuna UPENDO
Kuna watu wana UPENDO kupitiliza kiasi kwamba akikusaidia mpaka unapata FURAHA ambayo ndani yake unaambatana na UPENDO
Ukitaka...
Alafu zile silaha zilizoshindwa Ukraine wamezipeleka Israel, vyombo vya west viko busy kuvitangaza hizo silaha kana kwamba bado vina uwezo.
West wamejitahidi kuficha habari za Ukraine wako busy na habari za Israel vs Palestina
AIBU
Haijachacha, Vyombo vya habari vya West ndo vimefanikiwa kukuhamisha attention yako Gaza
Vimefanya hivyo baada ya kuonesha dalili ya kushindwa mazima katika vita ya Ukraine
Daah!
Single decision ya Zelensky imezaa haya yote na bado nchi inazidi kumezwa.
Maaamuzi ya busara hakuna kwa yule Bwana mdogo kaazi kweli kweli alafu angeweza kumalizana na Putin kistaarabu kwani Putin atakuwa mbishi akitafutwa na kumalizana naye???
Shida ni WEST
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.