Search results

  1. ZionTZ

    Akina Dada mna shida gani na vinywa vyenu?

    Wakuu salama...? Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu. Yaani unakuta mrembo yupo vizuri, anafanya kazi nzuri, ana position nzuri, anavaa smart lakini akifungua kinywa unatamani ardhi...
  2. ZionTZ

    Video: Mburundi ajitokeza na kukana kuzaa na diamond mapacha

    Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo anajiita honey jesca kwenye instagram, cha ajabu leo kajitokeza mwingine anajiita honey jesca na...
  3. ZionTZ

    Tahadhari: Chunga sana usikutwe na huyu afande ukivunja sheria za barabarani

    Tahadhari kwetu sisi madereva, wa magari ya abiria na magari binafsi na watumiaji wa vyombo vya moto kwa ujumla. Usifanye kosa halafu ukakutana na polisi kama huyu, huyu afande ni balaaa ukikutana nae lazima yakukute. Usivunje sheria ukadhani utahonga tu hovyo hovyo hapo lazima ulale ndani...
  4. ZionTZ

    Wakati Prof. Lipumba kakaa kimya kuhusu Lissu, Maalim ajitokeza

    kuna tofauti kubwa sana kati ya prof lipumba wa zamani na prof lipumba wa sasa, wa sasa ni mzito sana kutoa maelezo mbali mbali on time,,,amkua mzito ssana kutokan ana uhusioano wake wa karibu na serikali iliuopo madarakani.... katika hili suala la lisu mpaka sasa hajaongea chochote wakati...
  5. ZionTZ

    FIESTA ARUSHA: Full perfomance ya Ally Kiba

    Kiba apagawisha arusha....sauti yake ya jukwaani haina tofauti na ya kwenye CD, mziki mzuri tuliburudika sana....hapa na mausingizi baaadae ntatupia zingine...pata starter kwanza.
  6. ZionTZ

    Video: Kipaji OG...watoto wa .com ni noma!!!

    tufunge siku leo kwa kutazama vipaji OG kutoka kwa watoto wetu wazuuri wa kiafrika....burudani mtambuka kama hizi unaziangalia ukiwa umechoka chokiiii..... #NEXTCELEBS
  7. ZionTZ

    Video: Nani kaumiza? Diamond x Patoranking na Ally Kiba x Patoranking

    Ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...??? No. 1...
  8. ZionTZ

    Zari afanya haya mara baada ya kuolewa na Diamond Platnumz.

    juzi kati Celeb wakiganda muke ya diamond platnumz msaniii mkubwa Tanzania baada ya kuelewa aliamua kwenda kwao, huko alifanya mambo mengi na alionekana mwenye furaha muda wote mpaka pale alipofika kwenye kaburi la mama yake na kufanya haya.
  9. ZionTZ

    Video: Majambazi yalivyovamia bank

    Unaweza amua wapa nishani ya ubunifu haya majambaka....kuna watu wana akili sana huu ubunifu wangeuweka kwenye mambo mengine tungekua mbali sana.
  10. ZionTZ

    Mtu wa Watu: Ally Kiba Aangusha bonge la party Marekani kumpongeza Millen Magese

    Nimefurahishwa sana na nilivosikia kitendo cha Kingkiba alivoungana na mwenzake ommy dimpoz kwenda kumpongeza dada yetu mpenda happiness magese ambae juzi kati kapata mtoto baada ya mapambano ya muda mrefu, ikumbukwe dada yetu anamatatizo ya endometriosis... kwa niaba ya JF napenda mpongeza...
  11. ZionTZ

    Hatimae Majeruhi wa Lucky vicent warejea salama Nyumbani

    Kila Mtanzania aliguswa na msiba mkubwa uliotokea, Mungu si athumani wakajitokeza wasamaria wema waliokua njiani wakaamua kujitwika jukumu hilo la kuhakikisha wanapata matibabu ya hali ya juu nje ya nchi(marekani), leo tumeshuhudia hapa KIA umati mkubwa uliojitokeza kuja kuwapokea watoto hao...
  12. ZionTZ

    New song: Eneka by Diamond Platnumz

    Katika zunguka zunguka huko YouTube leo nimeona wimbo mpya wa Diamond unaitwa Eneka upo kama nyimbo za Tekno kinamna flan ila ni mzuri. Naona kaamua kufyatua tu midude kimya kimya. Diamond anataka kutupandisha presha aisee... Naona mtaa wa pili upo kimya sana, mondi ashaachia nyimbo nyingi...
  13. ZionTZ

    Ngoma mpya ya TID Mnyamaaa ni moto wa kuotea mbali...

    Huyu mtu ni simply a genius anapoamua kutulia anatuletea vitu hatari....hii ngoma nimeirudia mara 20 toka jana naisikiliza tu, big up tid mnyamaa...warioba...hhahahh hatari sana.
  14. ZionTZ

    Sasa ni rasmi penzi la Jux na Vanessa kwishnei

    Ile couple iliyotikisa sana mjini pande zote bara na visiwani kati ya wasanii wawili imevunjika, ikiwa ni siku moja toka jux akamatie degree yake huko uchinani la kupokea pongezi nyingi kutoka kwa mpenzi wake wa zamani vmoney watu wengi waliamini jini mkata kamba kashindwa ila ghafla leo...
  15. ZionTZ

    Wimbo mpya wa Alikiba aliomshirikisha Cabo Snoop

    hatimae alikiba atoa wimbo wake mpya, kamshirikisha cabo snoop...upate hapa.
  16. ZionTZ

    Tanzania yenye vipaji vingi vinavopotea

    Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.
  17. ZionTZ

    Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

    Baada ya msiba zari ameonekana akipost yupo kwenye mjengo wao wa SA na familia yake yote, Mungu awape nguvu machungu ya msiba yapite aanze kupambana kuijenga familia yake. diamond safi sana kwa kuonyesha ukomavu wa kuruhusu mkeo kukaaa na watoto wake wote.
  18. ZionTZ

    Usain bolt kashindikana..ang’aa tena huko Shang'ai

    Huyu jamaa naona keshashindikana....hizi mbio nilijua atachemka alianza vibaya sana lakini hapo kati kawakata wenzake kama walikua wamesimama. HATARI SANA.
  19. ZionTZ

    VIDEO: Tundu Lissu awajibu wanaomwita msaliti

    Baada ya tundu lisu kuibuka na kuanza kuipinga kamati ya prof mruma kinyume na matarajio ya wengi, wabunge wa ccm wameanza kumwita msaliti, gwajima nae hakua mbali...wengine wanasema amehongwa pamoja na wabunge wengine wa upinzani. haya yote yamemlazimu mh lissu kujitokeza hadharani na kutoa...
  20. ZionTZ

    Bungeni: Joseph Musukuma asema ana majina ya wabunge wa upinzani waliohongwa kuitetea ACACIA

    Kwa kipindi kifupi kilichopita bunge letu lilianza kurudi kwenye misingi ya kizalendo, ila tokea hii budget ya madini ianzwe kusomwa vijembe,majigambo,maneno ya kuudhi,kejeli zimerejea mahali pake. Leo kwa mara nyingine mbunge wa Geita, mh Msukuma aliomba dakika za nyongeza kutoka kwa Hawa...
Back
Top Bottom