Search results

  1. Elisante Yona

    Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu, wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, hakuna atendaye mema. Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu, aone kama yuko mtu mwenye akili, amtafutaye Mungu wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, hakuna atendaye mema, la! Hata mmoja. Zabur 14: 1-3.
  2. Elisante Yona

    Demokrasia: Maana, misingi yake na faida kwa jamii

    Demokrasia ni nini? Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma. Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama...
  3. Elisante Yona

    Prof.Lipumba Arrested and Appeared before Kisutu Court

    Civic United Front national Chairman (CUF) Professor Ibrahim Lipumba (62) appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday, charged with inciting his party followers to commit an offence contrary to section 390 and 35 of the Penal Code (Cap 16 R.E 2002). The...
  4. Elisante Yona

    Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

    Dear JF Members, I am writing this report with great sadness for the act which were committed by our police force by using excessive force when they arrested chairman of Civic United Front(CUF) Prof. Lipumba and his followers, I have discovered that Tanzania police force is just a gang of...
  5. Elisante Yona

    Rais Kikwete azuia mawaziri kutoka nje ya Dar

    MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya ambao wanatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa. Taarifa hizo zimekuja siku moja tu tangu Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wa...
  6. Elisante Yona

    New Development on Escrow Scandal in Tanzania

    Tanzania: Two appear in Dar court over Tegeta Escrow Account Saga Two people yesterday appeared before Kisutu Resident Magistrates' Court in Dar es Salaam in connection with the saga over the Bank of Tanzania Tegeta escrow account scandal. They are Rugonzibwa Mujunangoma, Director of...
  7. Elisante Yona

    Zambian President, Michael Sata dies in London

    Taarifa zilizotufikia punde zinasema Raisi wa Zambia Michael Sata amefariki dunia jijini London Uingereza. Familia ya Bwana Sata wameiambia BBC kuwa Rais wa Zambia, Michael Sata, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77 katika hospitali ya London alikokuwa akitibiwa ugonjwa ambao haujatajwa...
  8. Elisante Yona

    Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    POLENI SANA WANAJUMUIYA YA CHUO KIKUU KWA KIFO CHA PRO.Athuman Livigha. Kwa wale ambao hawa mfahamu huyu nguli wa masuala ya siasa ya jamii na utawala, Alikuwa idara ya siasa na utawala kwenye school of arts zamani ilikuwa inaitwa Faculty of Arts pale chuo kikuu. Na pia kuweka mambo sawa...
  9. Elisante Yona

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    CHADEMA must apologize for what Tundu LISU has accussed Mwalimu Nyerere, It was totally wrong ACT, Irrespective to someone who Liberated Tanganyika and who created Tanzania, Tundu lisu deserve purnishment, Tundu lisu HATUFAI kuwa KIONGOZI either Tanganyika or Tanzania
  10. Elisante Yona

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Maoni yangu, Tundu lisu ni Mhuni huwezi kumtukana Nyerere halafu Watanzania wakakusifu,Tumekugundua unajitafutia umaarufu wa kisiasa kwa kumtukana Nyerere,yaani wewe Tundu umefilisika,ninakuuliza umeenda hapo Dodoma kufanya nini ? Kutunga Katiba mpya au kumtukana Nyerere,Na kwenye hiyo Rasimu...
  11. Elisante Yona

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Dear JF Members, Let us ask ourselves a simple but tough questions, Is the union between Tanganyika and Zanzibar popular today as it had been before? Provide your positions with some concrete example supported by authorities, Hope to bring light to young generations, Does the young...
  12. Elisante Yona

    The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar

    Dear JF members, Please see attached analysis of the article of the union, It is very educative, What are the legal legitimacy of the union, Source: The citizen(Dar es salaam) 28 July 2008 Elisante Yona
  13. Elisante Yona

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Habari zilizotufikia punde kutoka Zanzibar ni kuwa Rais wa Zanziba pamoja na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametangaza kuwa kesho itakuwa ni Siku ya Mapumziko ya kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanziba, Chanzo cha habari hii ni TBC1 Ninawatakia MAPUMZIKO MEMA,HIZI NI HABARI ZA...
  14. Elisante Yona

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Wana JF Jifunzeni kufanya TAFITI ndio muanze kuongea ongea,mnasababisha JF inapoteza CREDIBILITY yake, NO RESEARCH/DATA NO RIGHT TO SPEAK(MAO) Elisante Yona
  15. Elisante Yona

    Matokeo ya Kidato cha Nne kwa Mwaka 2012 yafutwa na Serikali ya Tanzania

    Ndugu Wadau wa Elimu ya Tanzania, Soma Taarifa ya Waziri Lukuvi aliyoiwasilisha Bungeni, Mojawapo ya pendekezo ni kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne(4)2012, Na kupendekeza mitihani isahihishwe upya, Elisante Yona
  16. Elisante Yona

    Labour law in tanzania

    Knowledge grows when shared, So let me use spoon to feed you on sources of Labour LAWS: These are,i)Constitution of united republic of Tanzania article 22 & 23,Second source of labour law is legislation anacted by the parliament e.g in Tanzania,we have two statutes -ELRA No.6 of 2004 and Labour...
  17. Elisante Yona

    Kitabu cha sheria za barabarani

    Hiki ndio Kitabu cha sheria/Kanuni za barabarani za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,za mwaka 2008, Hizi zitakusaidia kuelewa kanuni za barabara vizuri,mimi ninaona watu wanaoendesha magari hapa Dar bila kufuata sheria za barabarani,utaona mtu anavuka kwenye taa zikiwa zimeonyesha "RED"au...
  18. Elisante Yona

    Jakaya Kikwete arusha dongo la kizamani huko Mbeya... soma ucheke!

    Mimi napenda Watanzania tuwe watu wa kuona mambo kwa chanya, Hapa mimi kwenye huu mradi wa maji Mbeya napenda kuipongeza Serikali ya Mheshimiwa Kikwete kwa kufanikisha hili,maana nia kubwa ni kuleta maendeleo,na pia kama CHADEMA wamesaidia huu mradi ukatekelezwa ni jambo jema,kwa sababu kuwa...
  19. Elisante Yona

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Pole sana Ndugu, Yaani karne ya Ishirini na moja,bado unamawazo hasi kama hayo,nikusaidie kidogo,Mfumo dume umepitwa na wakati,siku hizi ni kusaidiana,pia nina wasiwasi wewe sio mwanandoa,na pengine Uchumi wako ni wa chini sana,maana kuna familia baba ana gari lake,mama na yeye pia ana...
Back
Top Bottom