Search results

  1. M

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Nina mashaka na ubongo wako dadangu.. Mara mimi mtusi, mara naishi mbezi beach.... Ndezi sana wewe.
  2. M

    Kwanini helikopta uitwa CHOPA au APACHE?

    Apache ni aina tu ya helicopter.. Zinatumika zaidi kijeshi Israel
  3. M

    Huduma za changudoa

    Yaani tunavyoshauriana ujinga humu, kama tungeshauriana kwa wingi ili kuliondoa lidubwana linaloitwa CCM tarehe 25, tungekuwa mbali sana.
  4. M

    Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

    Watu wa mtwara bwana!!! Ukiwauliza mbona mmejiandikisha kwa wingi? Wanajibu " tuna maana yetu".. Sasa hiyo maana yao sijui nini??
  5. M

    Watanzania sio wajinga; tumekusikia, tumetafakari na tumeamua Magufuli ndio ajaye

    Dah mrembo upo?? Ina maana ushapotea kisiasa mama?? Kweli siasa mbaya...
  6. M

    Sababu za Lowassa kutopiga kampeni baadhi ya wilaya za Kagera

    Nina mashaka na hii so called IT Masaki!! Mbona wanao post wako shallow namna hii??
  7. M

    Kumbe hata barabara ya lami kwa Sumaye imejengwa na Magufuli

    Dah mkuu punguza jazba kidogo
  8. M

    Kumbe hata barabara ya lami kwa Sumaye imejengwa na Magufuli

    Ndo ujue akili zetu... Eti Magufuli kajenga Barabara, utadhani pesa kaitoa mfukoni mwake au na yeye ni fundi
  9. M

    Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

    Mkuu mikono yako ina matege nini
  10. M

    CCM hali ni mbaya sana!

    Hii mbinu ya " nunuanunua" wapinzani itawacost.. Natoa sababu zifuatazo: 1. Kwa hali ilivyo, wengi sasa hivi wana mapenzi na Lowassa.. Na wanasema mvua inyeshe jua liwake watampa kura tu. 2. Nguvu ya Lowassa.. Mzee ni political giant. Hata wakinunua wote kuanzia Mbowe mpaka Lissu, Lowasa ni...
Back
Top Bottom