Pia nasikia Balozi alisema safari kwa barabara inahitaji vibali vya nchi 3 Zimbabwe, Zambia na Afrika Kusini yenyewe ambapo nimeambia vinafanyiwa kazi. wakaty huu sio wa kawaida.
Mbona nasikia mambo yanashughulkiwa na Ubalozi. Nasikia pia Balozi aliongea na wadau hao. Ahmed Juma Hamis pia alikuwako na vile vile alichangia vizuri tuu.
Ni vigumu kuwakata shingo. watakukata wewe usipokuwa mwangalifu. Tena wanaweza kukuondoa kilaini na ukakubali matokeo. ila vizuri na wewe ukapanga mkakati wa kuwaibia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.