Search results

  1. Brakelyn

    Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Hukumu ilishatoka tangu juzi na Bunge liliwakilishwa Mahakamani na "Solicitor General" Wakili Mkuu wa Serikali. Ilitakiwa Wakili Mkuu aitaarifu Ofisi ya Speaker juu ya uamuzi wa Mahakama. Wabunge wote 19 walikoma kuwa wabunge tangu juzi Hukumu ilipotolewa. Shida ipo kwa upande wa Speaker wetu!!
  2. Brakelyn

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    aise sijawahi cheka muda mrefu kama asubui ya leo [emoji23]
  3. Brakelyn

    Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Polisi wameondoka muda huu, msafara wa Lissu unaendelea..
  4. Brakelyn

    RPC Pwani, Wankyo Nyigesa: Tutakesha na Tundu Lissu, ndiyo kazi yetu

    Polisi wameondoka, msafara wa Lissu unaendelea...
  5. Brakelyn

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

    Sasa uhuru wa Lissu anaoupata na kuupigania si upo kikatiba? Nchi hii ni huru kwa miaka 59 sasa kama huna habari. Hakuna matusi yoyote aliyoyatukana Lissu, polisi hawana sababu ya kumkamata zaidi ya kumpatia ulinzi kama mwananchi mwingine wa kawaida. Au unaona polisi wamemzawadia uhuru kwa...
  6. Brakelyn

    Harakati za kusaka wadhamini zinakiuka sheria ya uchaguzi chapter 343

    "Kitendo cha kukodi gari la matangazo kupita mitaani kuhamasisha watu, kuandaa jukwaa na kuhutubia kwa zaidi ya saa nzima huku ukijitapa namna serikali yako itakavyokuwa na kujaribu kukosoa serikali iliyopo madarakani ...." Sheria gani unayoiongelea wewe, maana THE NATIONAL ELECTIONS ACT, CAP...
  7. Brakelyn

    Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Hawezi kuenguliwa eti sababu hana sifa kisheria, kama ataenguliwa ni kwa sababu za kihuni tu!!
  8. Brakelyn

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

    Sheria inamtaka apate angalau wadhami 200 kwa mikoa kumi. Jumla ya wadhamini kwa mikoa yote kumi isipungue 2000! Hata angepata wadhamini 2000 "mkoa mmoja" tu bado atakuwa hajakidhi vigezo. Hao 485 wa Shinyanga wamezidi sababu hawahitajiki wote, watahitajika angalau 200 tu kwa mkoa wa Shinyanga!!
  9. Brakelyn

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Kuwa na kesi za kujibu Mahakamani hakumuondolei sifa ya kuwa mgombea kwenye uchaguzi. 1. "presumption of innocence", mpaka ahukumiwe kwenye hizo kesi ndio anakuwa ni mkosaji. 2. Hizo kesi zote 6 za uchochezi hata kama akapatikana na makosa, uchochezi haumuondolei sifa ya kugombea. Angalia ibara...
  10. Brakelyn

    Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Sawa, hebu twende taratibu. Nadhani kupinga kilicho kibaya kwenye ngazi ya kimataifa sio kosa na wala sio kudhalilisha. Inawezekana nafasi ya kukipinga mkiwa ndani ya Nchi haiwezekani tena, lazima utumie njia mbadala. Sasa chukulia mfano mtu kama Tundu Lissu alivyonyanyaswa, amefunguliwa kesi...
  11. Brakelyn

    Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Mtu akiwa nje ya nchi akamtukana Raisi kuna compromise vipi National Interest or National Security? Watu wana maoni tofauti na mitazamo tofauti ya ki sera na kiuongozi, kukosoana kwenye dunia hii ya sasa hakukwepeki!!
  12. Brakelyn

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    Hauamini?? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  13. Brakelyn

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    PAYE 2020-2021 Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  14. Brakelyn

    Vizuri kuwasilikiza viongozi wetu na kuchambua wasemacho

    Ww akili yako inakwambiaje kwani? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Brakelyn

    Car4Sale BMW X3 E83 X-DRIVE

    MAKE: BMW MODEL: X3 E83 2.5i ENGINE: M54B25 (2494cc) MILEAGE: 59,398 YEAR OF MANUFACTURE: 2005 FUEL: PETROL COLOR: WHITE TRANSMISSION: STEPTRONIC AUTOMATIC OPTIONS: PANORAMIC MOONROOF, X-DRIVE (All Wheel Drive), BMW USER MANUAL & SERVICE RECORD, HILL DECENT CONTROL, 9" ANDROID 9 CAR...
  16. Brakelyn

    Agizo la Makonda: Wanaume 57 wakamatwa kwa kuwapiga wake zao Dar

    Mwanamke akipigwa na mumewe ana haki ya kwenda polisi kumshitaki moja kwa moja na sio kumpigia simu Bashite...!! Wasipoteze vocha zao kumpigia simu mtu ambaye anatafuta umaarufu wa kijinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Brakelyn

    Kulikoni Mbowe Wilayani Hai?

    Kaoge upande kitandani ulale.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom