Search results

  1. Rubi

    Jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion

    Wana JF habari. Naombeni msaada wa jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion. Natanguliza shukurani zangu.
  2. Rubi

    Msaada kuhusu software Private VPN

    Jamani nimei-download hii software ya private VPN na inaniamabia mtandao wangu uko private cha ajabu nimeshindwa kusain in kwenya my yahoo email mpaka nilipoi-offline. Naomba ufahamu zaidi kuhusu hii software, faida na hasara zake kwa anayejua plz.
  3. Rubi

    Kweli tembea uone. Mzizi ulikuwa waijua hii!

    Nimeiona hii Neema blog ila sijui niche:becky: haya kwa wale wenye mgogoro jaribuni! SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME. Zipo dawa za asili za aina mbalimbali ambazo zimethibitika kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, kwa leo...
  4. Rubi

    Nyama na Maziwa ya soya

    Wasalamu wote. Naombeni msaada kwa anajejua hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza nyama za soya pamoja na maziwa ya soya ili nipunguze kula nyama za wanyama na kunywa maziwa yatokanayo na wanyama. msaada p'se.
  5. Rubi

    Mapishi ya Maboga

    Habari zenu wapenda wa hili Jukwaa. Naombeni mwenye kujua mapishi mbalimbali ya maboga anisaidie mie najua kuchemsha tu na maji kidogo pamoja na kutia chumvi kidogo. Naomba mwenye kujua. p'se
  6. Rubi

    Nawatakia nyote Heri ya Maadhimisho/Sikukuu Njema ya Miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Kwa wale waliozaliwa kabla ya kuwa Tanzania nawatakia " happy anniversary" ya miaka 51 ya kuzaliwa pamoja na kupata uhuru wa Tanganyika na nyote mliozaliwa Tanzania kila mmoja kwa miaka yake aliiyezaliwa tarehe 9 Desemba.......... HAPPY ANNIVERSARY TO ALL; HAPPY B.DAY TO YOU;:party...
  7. Rubi

    Njia asili ya kutunza Uso na ngozi kwa ujumla

    Jamani akina Dada, mama, na wengineo ambao wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya chunusi, vipele viipele kuzunguka macho, ngozi kuwa kavu au yenye mafuta mengi na matatizo mengi mengineyo hata kutusababishia kutumia vipodozi vikali ambavyo badala ya kutuponya pengine vinachangia...
  8. Rubi

    Enzi za Mwalimu - Tupia yako

    Tupia yako unayokumbuka enzi za Mwalimu enzi za mwalimu
  9. Rubi

    Kama in kweli hii story si mchezo!

    Mmh. sina cha kuongeza!!! Nilienda kumzika ibilisi wangu! Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona. Dereva na mke wangu walifia pale pale kwenye eneo la tukio. Tulikuwa tukitokea Chalinze kurudi Dar es salaam baaada ya kukagua shamba ambalo ilikuwa tulinunue katika...
  10. Rubi

    Msaada: vipelepele vinavyotokea kwenye ngozi laini ya Macho!

    Habari JF Dokta. Naombeni msaada kuna hivi vipele viko kama chunusi bali si chunusi hupenda kutokea kwenye ngozi laini kuzunguka jicho kwa baadhi ya watu. Nimeshaona watu wengi wanavyo wengine walishawahi kuniambia kama ni urithi. Bahati mbaya nami naona vimeanza kunitokea vilianza kamoja...
  11. Rubi

    Msaada : Madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury.

    Wapendwa naomba kujuzwa madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury. Maana mercury na hydroquinone ni hatari kwa afya zetu. nimesikia kuwa yapo lakini siyajui.
  12. Rubi

    Ni vema kutenga Muda wa Kumshukuru Mungu - kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake

    Wapendwa leo ni jumatatu ni wiki toka nitoke kumzika mama yetu mdogo( Marehemu Naomi Charles Ntinginya au Mrs Naomi Kiula) aliyekutwa na mauti katika ajali mbaya ya ubungo hapo tarehe 23 Novemba, 2011. Kwanza niliona "news alert" hapa jf, pili nikaona news Itv na yule askari aliyebeba kichwa...
  13. Rubi

    Usiku mwema wenye ndoa, makapera ubundi na ndoto njema!

    Nilikula tano kwenye kiti, sasa ndo nashusha neti najua hamwishi kuchiti humu. Pamoja na yote kumbuka kusali na kumwomba Mungu adumishe amani Tanzania miaka 50 ijayo kwa watakobahatika kuiona. Bila amani kuchit mida hii ni aghalabu. Mbarikiwe usiku mwema.
  14. Rubi

    Mzizi mkavu na wengineo wenye ufahamu; Msaada pls!! Maumivu ya Miguu

    Kuna mwalimu wangu (umri wake, sijui lakini ni mtu mzima kwenye miaka 50) ambaye amekuwa kama rafiki na kama mama yangu! ana tatizo linamsumbua la miguu kuuma. Miguu yenyewe inavyomuuma ni sehemu ya mbele kwenye ugoko lakini sio kwenye mifupa ni kwenye nyama eneo la kati. Sehemu nyingine...
  15. Rubi

    NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

    Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume
  16. Rubi

    Msaada: Jinsi ya ku-block email usizozitaka.

    Wataalamu naombeni msaada wa jinsi ya kuzi-block e-mail usizozitaka mfano hizi zinazotangaza viagra n.k maana siku hizi nimekuwa nakerwa sana na hizi email maana imekuwa ndio fasheni ukifungua unakuta email imetumwa na mtu ambaye yuko kwenye contact zako au wakati mwingine hata imejiandika jina...
  17. Rubi

    Hivi ni kwa nini?

    wataalamu naomba mnisaidie kunijuza. binafsi napenda sana kunywa uji hasa uji lishe kuliko kunywa chai hasa ikiwa ya rangi. Tatizo nikisha kunywa uji baada ya muda kupita kama nusu saa hivi naanza kupatwa na usingizi natamani hata kulala nakuwa najitahidi kujizuia kulala kwa sababu niko kazini...
  18. Rubi

    MSAADA tAFADHALI

    Habari wanajamii, Naombamsaada wa mtu yeyote anayeweza kunisaidi website ya mishono (mitindo) mbalimbali ya vitenge, vikoi na batiki. Natanguliza shukurani zangu.
  19. Rubi

    lesson FOR TODAY

    :angry: Sometimes, we try too hard to get to the greener grass. In the process, we end up in trouble. And when you find yourself in trouble and you're stuck in a situation that you can't get out of, there is one thing you should always remember: Not everyone who shows up...Is there to...
  20. Rubi

    Kwa walikokuwa wapenzi wa tamthiliya ya Jumong

    Baada ya kufurahi na kuburudika na tamthiliya ya Jumong sasa tamthiliya mpya ya THE LAND OF WIND ambayo ni mwendelezo wa Tamthiliya ya Jumong iko hewani kila j.tano, Alhamisi na Ijumaa saa tano kamili usiku kupitia kituo chako cha Itv. (Part 1 is the story of princess Moohyul and King...
Back
Top Bottom