Search results

  1. M

    Kama ilivyo vigumu kwa kaskazini kujitenga ndivyo ilivyo kwa zanzibar pia

    So what,kwani haiwezekani raia wa nchi mbili tofauti wakafunga ndoa? au hujawahi kuona?
  2. M

    Mkuu wa wilaya ya Iramba kumbe ni mwanafunzi Finland mpaka 2014!

    Ndio mkuu,Inapokua tuko ktk forum ya watu wanaoitwa "Great thinkers" halafu miongoni mwa members hata hawana taarifa kua kuna elimu kwa njia ya mtandao inasikitisha!!!! Ni vyema kabla hajasema kitu sema ukafanya uchunguzi kwanza.
  3. M

    Indian Soldier...oh sorry.....US Soldier

    True kaka,hoja nyingine zitolewe baada ya mtu ku think critically, Majeshini kazi hutangazwa mfano JWTZ,POLISI,MAGEREZA,UHAMIAJI,nk,watu wanaomba kwa vigezo vilivyoainishwa kisha huitwa ktk usaili,labda ndg yetu alitaka waitwe watu wote hata ambao hawajaomba? Ila anapaswa afahamu na...
  4. M

    Kombe la Lowassa linavyofana Monduli!

    Mkuu umeahidiwa ka uwaziri hiyo 2015?mana duh naona umekua mkali ghafla.
  5. M

    Inglishi media "aka" saint nanihii

    Naunga mkono hoja,serikali iangalie uwezekano wa kubadilisha mitaala,mana hata hao wnaoidhinisha mitaala ya kiswahili ukweli huu wanaufahamu vyema,na ushahidi wa hilo ni kitendo chao(WOTE) Hao watunga sera/MITAALA watoto wao wote hawasomi shule za kiswahili Medium.
  6. M

    Mke kagoma kujiita jina la Mumewe, mume afanyeje?

    Mnapojadili mada nyengine msikimbilie tu kuwalaumu watu,eti MKE KAGOMA KUJIITA JINA LA MUMEWE!!! Tatizo liko wapi je kuna sheria inayolazimisha kufanya hivyo?au ni lazima tu kwa sababu WAZUNGU ndivyo wanavyofanya? Kwa nini tunakua watumwa kiasi hicho?Pia ni lazima mfahamu kua kuna baadhi ya dini...
  7. M

    Kunywa pombe kuna faida gani??

    Are you serious mkuu?ama kweli waafrika tumesoma lakini kuelimika zero, Thats why tutaendelea kudanganywa na wana SIHASA mpaka kiama.
  8. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Ndg yangu mfumwa,hao unaobishananao utapoteza nguvu zako bure,mana ukweli wanaujua lakini wameamua kujifanya hawajui kitu,au umesahau wale walio ambiwa katika maandiko kua WANAMACHO LKN HAWAONI,WANAMASIKIO LKN HAWASIKII,WANA MIOYO LAKINI......,NI KM WANYAMA BALI INAFIKA MUDA HATA WANYAMA WANA...
  9. M

    Mazishi ya kifahari ndani ya tanzania

    Kwanza natoa pole kwa wafiwa wote,bwana alitoa na bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe. Pili,nimepata uhakika wa kua kweli hilo ni jeshi kamili,mana lina vyeo MITHILI ya vile vitumiwavyo na majeshi ya nchi ila sina uhakika wa malengo ya kuundwa kwake(JESHI LA WOKOVU) kua ni yaleyale ya...
  10. M

    Habari za asubuhi

    Duh,ahsante mgosi,umenikumbusha uji na mafenesi kule home Kwempapai,Natogoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. M

    Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

    Umesema kweli mkuu,mbona magari ya mamilioni yako barabarani yanaangizwa twayaona hakuna anaesema,wacha watu watumie pesa zao bana.
  12. M

    JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

    Tuache chuki jamani,mbona wazungu huwataji?au hujawaona?
  13. M

    JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

    Tatizo ni wageni au uwarabu wao?mbona kuna wazungu wanazeekea tanzania na wameshatia mimba dada zetu wengi tu huchukii?
  14. M

    Hakuna haja ya Uchaguzi 2010!

    Duh,kama kweli vile,mana mshindi anajulikana,chama kinajulikana,kwa nini pesa za eletion zisitumike kufanyia mambo mengine ya maendeleo?mana chaguzi za Afrika duh,aibu,full changa la macho,mwisho wake hukawii kusikia(wakishaibiana kura) basi tuunde serikali ya mseto.
  15. M

    Tanzania imekwisha??

    Kama Rwanda wanafanya vizuri ktk maendeleo kwanini wasisifiwe?hy dua yako unayowaombea wachinjane tena I think sio kitu kizuri cha kuzungumza,tukubali kua viongozi wetu hapa tz wana kaulimbiu nyingi kuliko matendo,most of them wamegeuka kua wahubiri tu na wanyoosheaji wazuri wa vidole kwa...
  16. M

    idadi ya watoto vs maisha bora

    Kuhusu suala la idadi ya watoto unaotakiwa kuwa nao,kuna factos kadhaa unazotakiwa kuzizingatia kabla hujafanya maamuzi,ila yote juu ya yote kigezo cha uchumi au hali yako ya kipato usikikiuke mana kufanya hivyo ni majuto makubwa baadae,japo kuna wanao egemea upande wa dini kuwa imewaelekeza...
Back
Top Bottom