Search results

  1. W

    USA in 1922- shocking

    Bado shocking nyingi zimefichwa lakini tuhesabu siku zitafichuka, kitu muhimu ni angalia picha na utajifunza mengi sana ya ajabu, yujitahidi kuchukua mazuri na mabaya tuwaachie wenyewe.
  2. W

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Bado pale pale "was absent/present...!!! which is which?. Nani aliemuua mungu yesu? au ni watu wadini gani? Bibilia iliofichwa ilioko Rome sio vesion mpya za Kina king James. but still is a book with writen words on it. Haya ni maswali ukiuliza sunday school padri anashindwa kujibu na ankutoa...
  3. W

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Sielewi hapa labda wana wakondoo watanitoa shaka, maswali yangu ni haya, ni mungu kafa kwa kusulubiwa, maana kashindwa kujihami, kama kafa mungu gani kabaki? huyu mungu aliyebaki, je? anfaurahishwa na kumuona mungu mwenzie alieuawa kawa kigezo cha picha ya kuteswa msalabani inaanikwa, badala ya...
  4. W

    Maskini hawezi kumsaidia maskini?

    Kifupi,Masikini akipata ****** hulia mbwata
  5. W

    Ni Tanganyika tu !

    Ni tekenolj jipya si mara ya kwanza mbuzi kupanda baiskeli hata bata atavaa raizoni,tofauti ni kumpakia kitako cha nyuma ndani ya tenga lakini ni lengo ni lile lile kumsafirisha cheki mbuzi anainjoi ile mbaya na kashika mabega safi, swali ni mbuzi wake ua!!!? maana bongo.
  6. W

    Jamani mnalikumbuka hili!.

    Mazungumzo baada ya habari. Jifunze kifaransa. Umoja wa mataifa wiki hii Inueni mioyo
  7. W

    Simba na Yanga uwanja wa Taifa

    refa usipulize
  8. W

    Simba na Yanga uwanja wa Taifa

    Ebu tupeni listi
  9. W

    Nakwenda Hijja Inshallah

    Ndugu sema awaombee mafisadi waongoke wajirudi na wawakinaike na kuchuma zile zile za haramu.
  10. W

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Jamii, Kwa kweli tukifuata uwiyano wa dini katika nchi, au dunia haiwezi kuendelea na kutengemaa, muhimu viongozi wachaguliwe kwa nyanja za uadilifu wa utendaji wa kazi kwa vitendo, lakini katika awamu zote nne kuna hofu kama kuna more than 5% ya watendaji waadilifu na kama wangekuepo hao 5%...
  11. W

    Ufunuo wa Mchungaji!

    Yote ni kweli. Lakini tatizo kubwa ni toka ngazi za juu kama viongozi kazi zao hawajui wajibu wala hawaoni haya hali kama uchafu ni kawaida kwao, mwananchi atajitahidi kadri ya uwezo wake lakini kama kiongozi hajali. Ndo inabidi uwe msafi kwako nje huna hila Waafrika tunataka viongozi wenye...
  12. W

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Hata wakiwa 100% waislam haiamanishi chochote, maana waisalm wanafiki ndio wabaya zaidi ya wakristo wazuri,waislam na ndio ni kweli, wengi saaana, wenye kutimiza ahadi au waumini ndio wanao takiwa kufuatwa sio jina muislam hawa ni vitu viwili tofauti tena mbali mbali. katika hao 75% basi ni %...
Back
Top Bottom