Search results

  1. Hank_31

    Hawa Age imeenda ndio nawataka mbona siwaoni mimi, munawapataga wapi

    Maokoto yanatafutwa, ila tusisahau kuishi mkuu.
  2. Hank_31

    Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Mwisho wa wasimbe hua ni kifo kibaya sana.
  3. Hank_31

    Mlio kwenye ndoa: Hivi kuna ratiba ya kupeana unyumba?

    Ratiba?, aseeh! Hua hakuna kitu kama hichi na hata ikipangwa hua inavurugika maana kuna siku kwa ratiba inasema hakuna ila wote ndio mnatakana, kifupi ratiba hua hakuna. Kama mchangiaji mmoja hapa alivyosema kwenye ndoa sex sio issue kabisa tofauti na mkiwa bado hamjaoana.
  4. Hank_31

    Njaa isikufanye kula chochote unachokiona mezani

    Ndoige za namna hii hua ni hatari sana!
  5. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:04
  6. Hank_31

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha, yule malaya hatari sana watu tulipenda na kunogewa na mauno feni yake tukasahau condom.
  7. Hank_31

    Naomba Tittle za movie kali ambazo sitojutia

    Cheki dude hilo.
  8. Hank_31

    Hospitali za Serikali mna nini?

    Hospitali zipo kwa ajili ya kutengeneza pesa zaidi, kwa hiyo ni kawaida kupewa majibu yasiyo sahihi maana wao kwao ina faida zaidi.
  9. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ngoja tujenge majumba sasa!
  10. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji41]
  11. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    Walinzi....
  12. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    Leo
  13. Hank_31

    Mwaka wa 8 mke wangu hajui nafanya kazi gani

    Dunia na maajabu yake! Kwangu shida sio mke kutokujua, ila hata kuuliza ?, Kwangu mimi ningemuweka kundi la wanawake wasiojali.
  14. Hank_31

    Ni kwamba hanipendi namfosi au??

    Aaah, nimetamani kuchangia lakini nikaona maneno yangu ni mazito sana. Kwa kifupi pole sana bidada hayo ndio maisha ya ndoa.
  15. Hank_31

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    The night in Istanbul ( Miracle of Istanbul )
  16. Hank_31

    Dhana potofu kuhusu bima ya afya, nashauri ipigwe vita ni wakati wa watanzania wapewe elimu zaidi kuhusu umuhimu wa bima ya afya kwa wote

    Kwa miaka ya hivi karibuni bima imekua kitu muhimu sana kwa kila mtu na inaweza kuokoa mtu pale usipotarajia, lakini hapo nyuma kidogo ilikua ni uozo. Kuna mzee wangu mmoja aliwahi fariki miaka ya 2013 kwa kucheleweshewa huduma kisa anatumia bima, toka miaka hiyo sikuwahi amini bima tena. Sent...
  17. Hank_31

    Pedal ya accelerator inachelewa kupokea moto

    Mkuu, kuna mengi ya kufahamu kabla ya kutatua changamoto inayo kabili gari yako, na ili gari itibiwe kwa ufasaha onana na mafundi/ wataalamu waliobobea karibu yako. [emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Hank_31

    Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

    Be dangerous that no one can mess up with you. NB: kwa dharau yoyote atakayokuonyesha mwanamke wako, basi jua wewe kama mwanamume uliitengeneza na kuikumbatia mwanzo wa mahusiano uenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Hank_31

    Mambo ambayo Wanaume hawapaswi kutuma kama ujumbe kwa Mwanamke

    Asseeeh, hata kumuuliza kitu kwa msisitizo hapana ! ( Una uhakika? ). Kwa mimi nauliza na hata makofi mawili matatu anachezea asipo jibu kwa maelezo yanayo eleweka
  20. Hank_31

    Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

    Kwani hicho chuo si kiliwekwa mahali palipokua shule ya sekondari Oswald Mang'ombe? Na kama ndipo kilipo basi hakijaanza miaka 13 unayosema maana mdogo wangu ame-graduate pale form six 2016, hivyo basi hakina zaidi ya miaka 8. Kuhusu kua na wanafunzi sina taarifa zozote.
Back
Top Bottom