Search results

  1. kemi2011

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Issue ni walimu wenye qualifications. Kwenye shule zetu za serikali walimu ni mazao ya Kayumba Sasa unategemea nini? Ili tuwe na elimu bora, kama Taifa inabidi uwekwe mkakati wa miaka kumi hadi ishirini ili kuwapata walimu wenye uwezo wa kuleta changes
  2. kemi2011

    Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mbona Dr. Magufuli alikwenda Singida? Acha siasa za kitoto haya ni maisha kila mtu ana uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka
  3. kemi2011

    Ujenzi wa shimo la maji taka

    Naomba ushauri. Nimechimba shimo na kukutana na maji kwa kina cha futi tisa. Nifanye nini wapendwa? Yaani nimekwama.
  4. kemi2011

    Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

    Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema na Chadema ni watu, sasa kwa nini atumie pesa za familia? Watu anaowaongoza wapo tayari kuchangia tena kwa hiari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kemi2011

    Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Kwani si ni Serikali ya CCM iliyoingia hiyo mikataba? MsemajiUkweli, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kemi2011

    Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu

    Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kemi2011

    Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu

    Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu, kuweni makini 0687003181 Makala 0684079639 Thomas 0658461311 Makala 0716997631 Mohamed Ally Naomba mwenye kujua napataje msaada TCRA anisaidie, binti yangu katapeliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kemi2011

    Barua ya wazi kwa Mh Rais Dkt Magufuli, Wape muda watanzania, tatizo ni NIDA

    Shida ipo kwetu watanzania. Mtu anajiandikisha, ukifika muda wa kuchukua namba, unakuta kasahau majina aliyojiandikisha, kasahau majina ya wazazi hata tarehe ya kuzaliwa. Inabidi apige picha mara ya pili, matokeo system inakataa kwani anakuwa 'Duplicate'. Mtu Kama huyu hata aende wapi hawezi...
  9. kemi2011

    Mbowe akiacha Uwenyekiti CHADEMA "inakufa''

    Kwani ina maana Mbowe akifa na Chadema inakufa? Watu wanaopenda chama na wenye uwezo wa kuongoza na kijitolea ni wengi
  10. kemi2011

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Makubwa, Mbowe katoka wapi kwenye hii mapa[emoji197]
  11. kemi2011

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Umenena, kwa Makonda Ndugai mtoto
  12. kemi2011

    Kitambulisho cha Taifa

    Nenda kwenye ofisi zao wilayani kwako, utapewa. Waambie kuwa ulishajiandikisha na kupigwa picha
  13. kemi2011

    Kitambulisho cha Taifa

    Fuatilia vitambulisho vipo. Ni muhimu kuwa nacho
  14. kemi2011

    Kitambulisho cha Taifa

    Fuatilia unakuta vitambulisho vipo ofisini na watu hawaendi kuchukua
  15. kemi2011

    Kitambulisho cha Taifa

    Huko huko mkoani nenda kwenye ofisi ya wilaya ya Nida utapata maelezo
  16. kemi2011

    Kitambulisho cha Taifa

    Nenda kwenye ofisi zao za wikaya ya Ilala Gongo la Mboto utashughulikiwa
  17. kemi2011

    Kutoka Mahakamani: Baraza Kuu la Lipumba lina wajumbe 15 dhidi ya wajumbe 30 wa CUF Taasisi

    Sio kuiba hela, ila nia ilikuwa ni kumdhoofisha Maalim baada ya kuporwa ushindi ... mission accomplished hata Lipumba akitoka CUF Alishavuta mkwanja
  18. kemi2011

    Msaada:Naomba mawasiliano ya NIDA makao makuu

    Chukua hatua, nenda Dar es Salaam makao makuu ya Nida wasilisha hoja yako Kama Wilayani haukupata msaada
  19. kemi2011

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Leo kwa kukutana na hii thread, nasikia raha Sana. Mkuu naomba unielekeze na kunifundisha, nataka kujiunga hata leo hii. Mawasiliano 0712478633. Naomba utaratibu, Kama wapo wengine walio tayari Kama Mimi tupate darasa...
Back
Top Bottom