Search results

  1. minda

    Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Sio kwamba Kuna watu walimchukulia fomu na yeye akakubali kwa kuzingatia idadi(sauti) ya Watu waliomshawishi?
  2. minda

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  3. minda

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Maaskofu wanafanya kazi kwa nyaraka kama ilivyo kwa mkuu wa kanisa katoliki Suala LA waraka liko hata kabla ya kikwete uwe na weledi taf aidha ni ninyi watz mnaolalama Kwamba maaskof wanamix din na siasa na sasa mnataka wakafanye siasa hasa ninyi waislamu Sent from my TECNO-Y3 using...
  4. minda

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Lkn je angekuwa anaishi tiizii angekuwa shujaa? Au ksbb anaishi ughaibuni?
  5. minda

    Majina halisi ya WanaJF waliofariki

    Du tang 2009 ndo nimeingia Leo miaka 8 nipo hai namshukuru Mungu
  6. minda

    Nini maana ya mzeiya au mzeia?

    Nimekua nikisoma majibu kwa watoa post, "pouwa mzeiya." maana yake nini?
  7. minda

    Neno " lol " lina maana gani?

    laugh out loudly (lol) huandikwa badala ya te he he he he he
  8. minda

    Nini msimamo wa Zanzibar juu ya muundo wa Serikali?

    wakiwa zenj serikal 3 wakiwa mjengoni serikali 2
  9. minda

    To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    achana naye uendelee na biashara(ukahaba) kwani ushavurugwa wewe
  10. minda

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon
  11. minda

    Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

    baada ya kunyolewa na serikali na kukaribia kufulia, sasa huyu askofu wa kujitangaza anaanza kuivuta serikali. hongera kakobe if u cant fight them...!
  12. minda

    Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    tusubiri kwanza tupate katiba mpya wakuu
  13. minda

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    mzee mtei anaakisi sauti ya walio wengi cdm na sio kwamba cdm ni mali yake. yuko sahihi. acha majungu mkuu
  14. minda

    Jeshi la polisi lawatawanya wafuasi wa MM

    mhusika mkuu kwenye waraka tunaoufahamu na hapa si mwingine anajulikana kama zzk
  15. minda

    Ushauri plz - Nataka Kuoa Mmasai

    zungumza naye kwani licha ya masai tradition pia kuna family taboos ambazo ni muhimu ufanye hivyo
  16. minda

    Utabiri wa mrithi wa Shekhe Yahaya..

    zzk tayari ameshaangushwa na jk tayari amethubutu kuleta katiba mpya
  17. minda

    Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

    wakuu tuwe na utu. yule alikuwa binadam kama cc ana hisia. rip soldier
  18. minda

    Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    ni kweli huyo bwana ni afisa habari wa chama na kila anachozungumza, kama ilivyo kwa wasemaji wa taasisi wengi, ni consensus ya taasisi yake vinginevyo tungesikia katibu mkuu kinana akimkaripia au hata mwenyekiti wake lakini hatuoni ukanushaji wowote wa hilo. pia tumezoea kusikia kwamba kukemea...
Back
Top Bottom