Search results

  1. mhono

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Kukubali wanafunzi wa kike kurudi mashuleni baada ya kujifungua ni kuwahamasisha kufanya ngono waziwazi. Mbona zoezi la kugawa kondomu mashuleni lilipokuja watu walipiga kelele ndiyo maana tunaona wasichana wenye umri mdogo wana watoto. Mimi binafsi siungi mkono wao kurudi shuleni. Nyie mnaotaka...
  2. mhono

    Wizi Tengeru jijini Arusha

    Wizi wa simu Tengeru umepungua maana sasa hivi wale wanaofanya kazi ya bodaboda pale stendi wameingizwa kiwa polisi jamii. Zamani Tengeru ilikuwa inaongoza kwa wizi wa simu hasa siku za soko Jmosi na Jtano. Wale wachache waliobaki waache kabisa wakajishughulishe na kazi halali za kuwapatia kipato.
  3. mhono

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
  4. mhono

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    Helotel ni kiboko ya mitandao yote. Hamieni huko. Tigo 4G ni kimeo wala haifai. Wanazuga watu tu
  5. mhono

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hata mimi ilitokea hivyo hivyo. Nilijiunga na kifurushi cha shiling 3500/= lakini baada ya kupiga simu dakika 2 tu simu ikakatika na nikapata ujumbe kuwa sina salio la kupiga simu. Vodacom ni wezi sana. TCRA inatakiwa kuwafungia wezi kama hawa wanaoibia wateja wake.
  6. mhono

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom ni wezi kwa kwenda mbele. Kwanini wasilete utaratibu wao wa kutoa taarifa ya jinsi ulivyotumia pesa yako kwa matumizi ya simu mara tu unapokuwa umemaliza kupiga au kutuma sms. Hao ni wezi wa hatari. Cha msingi acha kutumia mtandao wao basi.
  7. mhono

    Msaada wa dish

    Jamani naombeni msaada wa kwenye dish. Ku-PAS 7/10 (68.5) na C-intelsat 64E hazionyeshi channel tena. Au wamehama frequency? Anayejua naomba huo msaada maana hapa nimekwama
Back
Top Bottom