Naomba kuuliza katika utawala je Rais huwa HAKOSEI?
Je, Rais anaweza kuwa na ushawishi wowote wenye nguvu kuingiza nchi kwenye mikataba isiyo na tija Kwa nchi?
Je, Rais anaweza kuamua Jambo lolote kwenye mihimili mingine na asifanywe chochote?
Je, Rais anaweza kuisigina katiba na chama chake...
Salamu
Naomba kujua ikiwa wabunge wakatwa pay as you earn (PAYE)
Naomba kujua kama wabunge wanachangia mifuko ya NSSF(national social security fund)
Naomba kujua wabunge wanachukua hizo fedha yaani kiinua mgongo baada ya muda gani na kwanini wasipewe baada ya kutimiza miaka sitini?
Habari Wana jamvi
Kama KICHWA CHA SOMO hapo juu naomba niingie moja Kwa moja Kwa maada.
Nchi yetu Chini ya utawala wa Rais Julius kambarage Nyerere Baba wa taifa nchi ilisukwa katika weredi wa Hali ya juu Sana.
Mfano viwanda kila mkoa kulingana na Mali ghafi zilizokuwa zinakuwa zikipatikana...
Wakuu nawasalimu nyote
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!?
Kazi iendelee.
Baada ya salamu nijikite kwenye Hoja.
Mwezi mmoja ulipita nilitembelea nchi ya Uganda. Kutoka Entebbe mpaka Kampala kuna mwendo wa zaidi ya masaa mawili hivi.
Lakini Uganda kulingana na kuruhusu daladala ndogo Aina ya...
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani.
Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote.
Wengine...
Mimi nakumbuka mwaka 2001 nilikuwa mkoani Morogoro kwa biashara ya madini , eneo linaitwa mkuyuni. Nikaugua na kuenda zahanati Fulani hivi .
Na kwasababu ya kutokuwa na vitanda vingi ,tulilazwa kitanda kimoja watu wawili na sote tulitundikiwa drip. Kilichotokea SAA nane usiku nipo macho na...
Nawakumbusha wagombea
Msijaze kiholela form za kuomba kugombea
Udiwani
Ubunge
Urais
Form hizo zitachunguzwa kipengele baada ya kipengele.
Kama kuna sehemu huelewi uliza ili usaidiwe maana utawekewa pingamizi la kitoto kabisa kwa ujinga wako.
kabla hujaenda kushiriki kuchagua au kuchaguliwa fikiria.
Kuchaguliwa
Wewe utasimama kwa niaba ya watu wote. Je unajua watu wataweka tumaini kwako? Je unaakili timamu? Kumbuka watu wakifa kwasababu yako utadaiwa.
Watu watahitaji uwe mfariji wao....wafariji
Mshauri wao.....washauri.
Mwonyaji...
Salamu WanaJF,
Kama bandiko langu hapo juu linavyojieleza
Ningependa kada ya udaktari wa binadamu wawe ndio wanaopokea mshahara mkubwa zaidi hapa Tanzania
Kwanini?
Kwasababu kwanza ni elimu ihusuyo uhai wa mtu na kumbuka uhai haufanyiwi mazoezi you cannot replace life. Ina gharama kusomeshwa...
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.
lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Habarini
Katika kipindi hiki cha maambikizi ya ugonjwa huu hatari, naomba niwakumbushe au niwatahadharishe wakazi wote wa Zanzibar.
1. Ni usafiri wa daladala zinaitwa chai maharage
Ukweli usafiri huu serikali ya mapinduzi hebu muutazame
Hii ni hatari sana watu wanajazana kwelikweli.
Serikali...
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa...
Habari wadau.
Najiuliza tu kwanini mtu anatoka upinzani hususani chadema anapohamia CCM anapata nafasi kubwa
Je ina maana CCM Hawaandai vijana?
Je ina maana vijana wa upinzani ndio zao bora?
Je ina maana akina
Kitila
Mwita
Katambi
Kafulila
Na wengine wengi ni bora kuliko wale wa LUMUMBA...
Ndugu wanajamvi nawasalimu.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kwa viongozi wengi wanaosimama majukwaani na kutoa lugha za uchonganishi, ugombanishi na zaidi za chuki.
Hili linanitia wasiwasi ikiwa chama cha mapinduzi chama kikongwe kama kina chuja vizuri na kutambua uraia wa viongozi wanao wapa...
Nimekuwa Uhamiaji kwa ajili ya passport tangia alfajiri. Geti linafunguliwa mpaka saa nane siku ya Alhamisi, Ijumaa hakuna mtandao na viongozi wanafurahia tu hakuna jitihada yoyote.
Waziri husika na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani hebu mulika suala hili. It's very shameful kwakweli...
Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness."
The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to potentially use as a biological weapon during wartime. The lab is ironically located in Wuhan...
Kumetokea wimbi pa ndoa nyingi kuvunjika kwasababu baba anafanya kazi Mwanza ambako amepelekwa kikazi na Serikali na mama anafanya kazi Dar es Salaam ambako naye anafanya kazi Serikalini wakitaka uhamisho wanaambiwa chagua kazi au ndoa. Kumbukeni:
Ndoa ni takatifu
Ndoa Mungu ndio muasisi
Ndoa...
Tanzania kwa sasa vijana wengi iwe kwenye sekta binafsi au maeneo ya vyuoni au mashuleni au wafanyakazi wa serikali, kumeibuka wimbi kubwa la watu kutokuwa na msimamo. Hii inapelekea kuogopa kupoteza kibarua au kupoteza mme au mke au watoto (compromising).
Maisha kuwa magumu na watu wengi kuwa...
Sometimes you are unsatisfied with your life, while many people in this world are dreaming of living your life.
A child on a farm sees a plane fly overhead and dreams of flying. But, a pilot on the plane sees the farmhouse and dreams of returning home. That's life!! Enjoy yours.
If wealth is...
Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara?
Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti yupo saloon anasema mimi siwezi kuolewa nimeghaili taarifa kumfikia mjomba nae akadhani ni masihara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.