Search results

  1. Lyceum

    Uhuni uliohalalishwa Dar

    Shughuli za madalali hasa wa malazi Dar ni uhuni wa hali ya juu sana hasa Dar ambako mteja anatakiwa kumpa dalali kodi ya mwezi mmoja. Mamlaka zinapaswa kuratibu na kusimamia hawa watu ili kuepuka utapeli unaoweza jitokeza na kukusanya mapato yatokanayo na hii kazi wanayofanya.
  2. Lyceum

    TRA na ushuru wa kuingiza gari

    Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.
  3. Lyceum

    Magufuli na dhana ya "wajanja-majipu"

    Pamoja na Mheshimiwa Raisi Magufuli kuokoa kiasi kikubwa cha fedha zilizoibiwa na zinazotokana na matumizi mabaya, ametufundisha yafuatayo:1. Wizi sio ujanja ni tendo ovu na la aibu tofauti na baadhi ya viongozi wa awamu ya 4 waliowaita wezi ni "wajanja" 2. Watanzania tuache kushabilikia utajiri...
  4. Lyceum

    Bei ya petroli

    Wakuu kumekuwa na ongezeko la bei ya nishati ya mafuta kila uchao. Hii inapelekea gahrama za usafirishaji kuwa juu kupita kiasi. Kuna maeneo petroli imeshafikia sh. 2500 kwa lita. Nadhani umefika wakati kupaza sauti zetu bei ipungue kwani tuendako hali yaweza kuwa mbaya zaidi. Nawasilisha
  5. Lyceum

    Kikwete kama Mikhail Gorbachev

    Wanajf nimewaza sana na nimekumbuka Mikhail Gorbachev alivochangia kuumaliza ukomunist na kwa hali inavomwendea mkuu wa kaya jk nikaona dalili za yeye kuiua ccm aka magamba (which is good anyway). Sipendi kuwa shekhe Yahaya ila nashawishika kuamini hivo. Wanajamii mnaonaje hii hali? Ni maoni tu...
  6. Lyceum

    Kikwete: The most handsome president in Africa

    Its supprising that some of Tanzanians ranked JK as one of the hondsome pres in Africa. However, "In politics we presume that everyone who knows how to get votes knows how to administer a city or a state. When we are ill... we do not ask for the handsomest physician, or the most eloquent...
  7. Lyceum

    Polisi waunga mkono peoples power

    Wapendwa wana jf. Polisi nchini Tunisia wameungana na raia dhidi ya serikali ktk maandamano. Source: itv news. Imekaaje wanajamvi? Polisi wetu hawawezi pia? Peoplezz power
  8. Lyceum

    Nissan xtrail

    Jamani natamani kununua nissan xtrail; tafadhali nawaomba wanaozijua hizi gari wanipe ushauri kama ni gari nzuri za kununua. Ushauir tafadahli. Thanx in advance
  9. Lyceum

    Nami nimo

    Amani kwenu wana jf; niko na furaha kujiunga na forum the home of great thinkers. Natumai nami nitachangia ili nami niweze kuchangia kwenye kufanya watanzania kufikiri kwa uhuru zaidi. Tupo pamoja
Back
Top Bottom