Search results

  1. Lyceum

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Huu ujinga mnafanya hausaidii nchi yetu. There is nothing wrong wananchi kuchanga. Na Kwa taarifa Yako tu ni kwamba hii barabara ipo budgeted kwenye dmdp 2 na kazi soon itaanza ila wananchi wameona wafanye jambo wakati wanasubiri serikali which we all appreciate. Unachokifanya wewe hapa kusema...
  2. Lyceum

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Nonsense. Tarura wamechangia Nini? Nothing
  3. Lyceum

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Weka vizuri ndugu. Wananchi wamechanga fully Hela kurekebisha barabara.
  4. Lyceum

    Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Hali ya Corona imeitikisa sana dunia. Utulivu wa Magufuli kwenye hili janga unafikirisha sana. Na huenda wasio na utulivu ndio waliomkebehi na kumtukana. Well, muda utasema, japo tayari binafsi nimejifunza utulivu kwenye upambanaji na majanga.
  5. Lyceum

    Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

    Wakati mwingine ni ngumu kuelewa kama watu wanampinga JPM kwa sababu ya upungufu wa serikali yake au ni kwa sababu maslahi yao yameguswa. Ngumu mnoo.
  6. Lyceum

    This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

    Leo nimeulizwa na mfanyakazi mwenzangu unaonaje kauli za Chalamila nikakosa jibu. Sina jibu. Naumia zaidi kwa sababu Ukuu wa Mkoa ni nafasi kubwa sana ya uongozi inayonihitaji kuiheshimu. Ila najiuliza, Kiongozi ain aya Chalamila nampaje heshima? Ngumu sana. Wanangu wanaangaliaje video ya...
  7. Lyceum

    Kuna mwanamke ambaye yuko tayari kufanya harusi ya namna hii?

    Bonge la Sherehe. Harusi ni tulip la kifamilia sio vinginevyo. Ndo mana siku hizi ndoa usanii
  8. Lyceum

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Mkuu kwani lazima umuite mtu mbumbumbu? Grow Mkuu na kuwa mstaarabu. Badala ya kumtusi mwenzio sema unachidhani ni sahihi tutakuelewa acha uvulana
  9. Lyceum

    Afisa wa TRA mbaroni kwa kuomba rushwa ili asaidie ukwepaji wa kodi

    Ametuhumiwa bado hajahukumiwa Mpendwa katika Bwana
  10. Lyceum

    Mhhhh!! Mambo ya Kupeana tu tabu haya!!

    Wanahangaika na mafremu
  11. Lyceum

    Tuendako sio kuzuri!

    Bahati mbaya hata wenye PhD wamemua kupalilia hii kitu. Rejea kauli ya mpango bungeni
  12. Lyceum

    Msajili wa Vyama vya siasa akimulike kikundi cha Green Guard ndani ya CCM, kimeunda jeshi.

    Viongozi wanapaswa kuwa waungwana. Haya makundi hayana afya mkuu. Vyombo vya ulinzi vitoshe tu. Tumepata tabu Sana 2015 na haya making ya vyama.
  13. Lyceum

    Wale mliofanya harusi ya gharama ndogo ninawaita hapa.

    Ni using kuchangisha mil 20 kwa stress na kusumbua watu halafu baada ya harusi unalipa madeni. Harris ni mwanzo wa maisha so mwisho
  14. Lyceum

    Wale mliofanya harusi ya gharama ndogo ninawaita hapa.

    Kuoa ni suala binafsi na kifamilia au ukoo. Fanya kulingana na uwezo wa familia aunt upon. Usisumbue watu. Nakuunga mkono mkuu
  15. Lyceum

    Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA

    Ukiwa na mamlaka huwezi mfahamu mchina. Akitaka favour kwako au kama una maamuzi juu yake hutimfahamu asilani. Ukiwa chini yake we we ni mbwa tu. Wachina katili sana nakubali. Na ni washenzi kweli
  16. Lyceum

    Kampuni ya UDA-RT, yasitisha hudumuma ya mabasi ya mwendo kasi

    Tatizo la hapo sio engineer ni kujenga daraja kubwa.
  17. Lyceum

    Wakati tukifuatilia msafara wa Billionare Mengi Live kuelekea Machame nawakumbusha tu mbunge wa hapo ni Freeman Mbowe.

    so what. Hiyo lami kajenga Nani? Nyie watu mnatakiwa kuacha uwendawazimu. Mnawapa tabu Wachagga wasio na tabia hizi za kipumbavu. Grow up
Back
Top Bottom