Search results

  1. dracular

    Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Project ni mpya kabisa tutaanza kwanza kwa kugawana sehemu ya faida huku tukiweka sawa mipango mizuri ya mshahara
  2. dracular

    Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  3. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa
  4. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    tayari nipo kwenye mchakatato huo nimuwekea hadi bili ya maziwa na kwasasa lazima ale samaki walau mara mbili kwa siku na kikombe cha maziwa fresh
  5. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    mwanzo alikuwa pisi kali balaaa ila kwasasa kaporomoka sana.. nimeshaanza kufanya utaratibu wa kumuweka sawa kuanzia mavazi, chakula na kumuondolea stress
  6. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Alinambia msongo wa mawazo maana kwao yeye ndo wakwanza na wadogo zake wanamtegemea kwa kila kitu na hana kazi
  7. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Nahofia naweza kukuacha then baadae hisia zikarudi nahisi ni bora ni mtunze kwanza huenda akawa bora kabisa
  8. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Hata mimi nina wazo kama lako.. huenda akawa pisi bomba sana iwapo atapata matunzo mazuri
  9. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    namjua ni tabia zake nzuri tu.. shida ipo kwangu sina hisia nae
  10. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Kwahiyo nikimuoa huenda mambo yaka kaa poa tu
  11. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri
  12. dracular

    Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  13. dracular

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    wekeza kwenye biashara ya usafirishaji wa mizigo.. nunua fuso
  14. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Nikifanya siri madhara yake yatakuwa makubwa sana.. Hakunaga siri duniani
  15. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Bro.. huyu kumuoa ni ngumu sana kwanza kanizidi umri lakini pia huyo mtoto wake ni mkubwa anaweza hata kuolewa na mtu wa lika langu
  16. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    porojo kivip? kwani umelazimishwa kutoa ushauri
Back
Top Bottom