Search results

  1. T

    CHADEMA tujitafakari

    Nikiwa kama Mtanzania wa kawaida kabisa nachukua fursa hii kuwapa ushauri tu mjitafakari kuna sehemu mmejikwaa na hama hama hii ya wabunge wenu ipo siku mtajikuta hamna mbunge hata mmoja na ndio itakua mwisho wa CHADEMA.CHADEMA badilikeni mambo yanayosemwa semwa ndani ya chama chenu yawezekana...
  2. T

    Pinda wewe ni kiongozi bora

    Pinda ni kiongozi atabaki kumikali katika Taifa la Tanzania,kwanza Ni kiongozi ambae hakulupuki katika kutoa maamuzi Ni kiongozi mwenye misimamo mikali ni mkweli ambae hadanganyi na hawezi kusema kitu ambacho hana uhakika nacho na hata Kwenye sakata la ESCROW aliposema fedha ile ilikuwa sio ya...
  3. T

    Mungu hamtupi mja wake

    Pinda twende zetu katavi mdogomdogo tutafika 2015 for PINDA
  4. T

    Diamond Platnumz ni fundi

    Kusema ukweli jamaa anajua nimetoka kuicheki video ya wimbo wake mpya Unaoitwa NITAMPATA WAPI ambao umetoka kupigwa muda si mrefu kwenye kituo cha TV cha TRACE video yake imesimama kweli kweli na ukichanganya na modal wake wa kizungu ipo vzuri sana ila ameniudhi tu vituo vya bongo vya TV na...
  5. T

    Ukawa na dhana za kijinga

    Hawa CDM /UKAWA bado dhana Yao wanayoitumia bado siielewi kabisa kwa sababu ukifuatilia kwa makini mikutano Yao utasikia Mara NGUVU YA UMMA, TUKO NA MUNGU sasa mimi nabaki najiuliza inamaana wao ndio wenye Mungu CCM hawana na je wao ndio wenye watu CCM hawana , mimi kwangu naona ni kama dhana...
  6. T

    UKAWA mnchezea shilingi kwenye tundu la choo

    Wanajamvi, Kwa jinsi nilivyofuatilia hotuba ya RAIS wetu mpendwa JK ni wazi kuwa katiba iliopendekezwa inaweza kupatikana kabla hata ya uchaguzi. Ina maana kuanzia leo tunahesabu siku 84 tupate katiba mpya na hilo nahisi litakuwa hivo kwa sababu wasipofanya hivo itabidi muswada upelekwe...
  7. T

    UKAWA hawaamini kinachotokea

    Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia...
  8. T

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    CHADEMA ilianza kwa kasi kubwa katika medani za siasa nchini kutokana na sera ambazo ziliwavutia watu wengi hasa vijana. CHADEMA ilianza kuja na sera mbalimbali pamoja na kauli mbiu zenye matumaini kwa wananchi kama vile M4C, na nyingine nyingi ambozo zilivuta hisia nyingi hasa kwa vijana...
  9. T

    Katiba mpya

    Tayari rasimu ya pili ya katiba imesha toka na Rais amesha kabidhiwa tayari,kwa ajili ya kuandaa bunge la katiba mapema katikati ya mwezi huu lakini tayari vyama vya siasa vimeshaanza kuuteka mchakato mzima wa katiba .Kwa upande wa CCM tayari wameshatoa tamko kwamba watuludia tena kuangalia...
  10. T

    Rais 2015

    Kwa mwelekeo uliopo 2015 Rais atakua PINDA mkubali mkatae ndio maana watu wenye fedha zao ndani ya CCM wanatumika kumchafua katika jamii ili aonekane hana uwezo wa kuongoza.NAWASILISHA
Back
Top Bottom