Wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia sana kampeni za uchaguzi hususan za UKAWA na nimeona hakuna mahali popote pale ambapo watu walisombwa kwa malori na mabasi kupelekwa kwenye mikutano. Hapana wasanii, wala kupewa khanga, T-shirts na pesa, na bado Rais wetu Lowassa amezoa nyomi la kufa mtu kila...
Wakuu,
Katika kuperuzi humu jamvini nimekutana na hii habari.
Sikufahamu kama Mtikila alikuwa mwanajamvi mwenzetu.
Sasa wale waliokuja na 'conspiracy theories' kuhusiana na ajli iliyosababisha kifo chake, labda tukumbushane na hii pia...
Wanajamvi heshima kwenu,
Wakati tunaendelea na kampeni za uchaguzi na wakati wengine tukiwa tunajipanga kuelekea Jangwani kesho kushuhudia ufunguzi rasmi wa kampeni za UKAWA, naomba kujuzwa kama Bunge lilishavunjwa? Hili swali niliwahi kuliuliza lakini nilimuudhi sana mwanajamvi mmoja...
Mr. Paul Sozigwa, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari katika serikali ya Mwalimu Nyerere, amepotea tangu jana mchana katika mazingira ya kitatanishi. Mara ya mwisho alionekana kanisani Mbezi Beach BCIC (kwa Gamanywa) jana Jumapili saa nane mchana. Kupotea huku kunaleta mashaka hasa kwa kuwa Mzee...
Wanajamvi heshima kwenu,
Katika hali isiyo ya kawaida chama tawala kimekuwa kimya sana tangu kifo cha kada wake, diwani wa Kisesa, Clement Mabina. Wanajamvi kuna yeyote ameshatoa tamko rasmi (msemaji wa chama) kuhusiana na hili? Tumezoea sana kupata taarifa rasmi kupitia kwa Katibu Mwenezi...
Though Tanzanians are scheduled to hold a referendum on the new Constitution sometime next year, the National Electoral Commission (NEC) has said it is not certain if the Permanent National Voter Register (PNVR) will be updated to allow the democratic exercise to take place.
The uncertainty...
Gari la serikali lenye namba STK 4394 limekamatwa likiwa limebeba twiga na swala wenye thamani ya sh 55 milioni.
Source twitter #ujangili ippmedia.
My take:
Yataisha lini? jk na serikali yako acheni kuifilisi Tanzania, siyo nchi yenu, ni ya watanzania. Vizazi vijavyo vitatuhukumu...
Heshima kwenu wadau,
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu kazi ya Makamu wa Rais wa JMT, Dr. Mohamed Bilal. Job description yake kiongozi huyu wa ngazi ya juu kwenye serikali ni kuweka mawe ya msingi, kufungua makongamano, warsha na semina? Hivi hana kazi nyingine? Kila kukicha kwenye...
Heshima kwenu wanajamvi,
Nina ombi ama rai ambayo ningependa ifanyiwe utafiti na ikiwezekana iwekwe kwenye historia ya mapambano yetu ya ukombozi.
Ninapendekeza CHADEMA iweke siku maalum kwenye kalenda zetu, iwe siku ya kuwakumbuka wote wale waliopoteza maisha yao kwenye harakati za kumkomboa...
Nimesikia kichefuchefu baada ya kusikia kwenye taarifa ya habari ya ITV usiku huu kauli za kejeli na dharau isiyoweza kuvumilika kwa wananchi wa Mtwara.
Mbunge wa Sumve Mh. Ndassa - 'watu wa Mtwara hawana uwezo wa kufikiria na kufanya mambo kama waliyoyafanya leo. Kuna mtu anayewasukuma'...
Best place in the world to be a mother is... - CNN.com
(CNN) -- Thinking of having a baby? You may want to consider moving to Finland -- the best place in the world to be a mother, according to Save the Children's 14th Mothers' Index.
The index, part of the group's annual State of the World's...
Huko Venezuela Bungeni hali ilivurugika baada ya wabunge wa upinzani kuzuiwa kuzungumza na viongozi wa chama tawala. Kwa jinsi Spika na Naibu wake wanavyoliendesha Bunge letu nadhani siku zi nyingi haya yatatokea.
Eyewitness News: Fistfight in Venezuelan Parliament
Leo nimefarijika sana kuisoma hotuba ya Freeman Mbowe ambayo amenukuu maneno mazito kutoka kwa baba wa Taifa. Nikakumbuka kujiuliza swali linalohusiana na hilo kwenye mawazo yangu nilipomsikia jana Waziri Kagasheki akisema ya kwamba watu wa Loliondo siyo wamiliki wa Ardhi ya Tanzania, bali ardhi...
Wakuu,
Ninafuatilia kuapishwa kwa Rais wa nne wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Cha ajabu nimemsikia Makamu wa Rais William Ruto akisema ya kuwa mtu wa kwanza kuishi duniani aliishi Kenya.
Nimejiuliza, mwalimu wangu wa historia alinifundisha ya kuwa Olduvai Gorge (Bonde la Olduvai) liko Tanzania.
Ama...
Wakuu, nimeipata hii taarifa mahali naomba kuiweka jamvini. Wakati kuna wanaomfagilia Mwakyembe kwa hatua alizochukua kuhusu uboreshaji wa bandari ya Dar, taarifa za World Bank zinaendelea kumuumbua yeye na serikali nzima ya magamba. Habari ndiyo hiyo!
The Port of Dar Es Salaam, the second...
Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki parokia ya Chumbageni, Padre James Kabosa ameponea chupuchupu kuswekwa ndani na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego kwa madai ya utovu wa nidhamu. Tukio hilo limethibitishwa na Mkuu wa wilaya mwenyewe, Padre Kabosa na msemaji wa Askofu, Padre Peter Kagaba...
Wanajamvi kama mtazamaji wa ITV mara kwa mara nimekuwa nakerwa na tabia ya kuonyesha mtu ama watu wakizungumza kwa lugha ya kigeni hususan kiingereza bila ya kuwa na tafsiri ya kimaandishi (subtitles) ama hata kuweka tafsiri ya juu ya maongezi kwa kiswahili. Leo nilimwona mtu mmoja hakuwa...
Why the city is overtaking Nairobi, Johannesburg and Kampala
Tanzania runs a housing deficit estimated at 3 million units valued at $180 billion
The current annual demand for houses in urban areas is 200,000 units
Minister for Land and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.