Search results

  1. A

    Maadhimisho ya CCM Mbeya yafana kupita kipimo

    Leo hapa Mbeya shamra shamra zilikuwa kibao hadi kila mwananchi aliamini pasipo shaka kwamba CCM haina Mpinzani. Na wanaopinga ni wale ambao hawana hoja zenye mashiko mbali na kutukana, kukashfu, kulaumu, kukosoa kila kilicho chema kwa ubaya, utawasikia wakisema au kupost eti nyie buku7, mara...
  2. A

    Hotuba ya Mh.Mbowe yazua Utata kwa Wakazi wa Geita tarehe 27/1/2014

    Wananchi ambao walijitahidi kufika Uwanjani wakionekana na kuwa na nia mbili kuu; Kwanza kusikia toka kwa kiongozi ngazi ya Taifa tena kiongozi mkuu wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, mambo muhimuambayo yatawaondolea huzuni ya kukosa maji safi na salama, barabara bora ndani ya maeneo ya...
  3. A

    Je ni kweli kwamba Siasa ni Maisha?

    Kumekuwa na mazungumzo ya hapa na pale kuna watu maeneo kadha wa kadha hudai siasa ni maisha. Naomba wa JF mnisaidie wako sahihi? na kama ni ndiyo kwa vipi? kama siyo basi wanasiasa hulenga kutuibia? Naomba msaada wenu
  4. A

    Kwa Wataalamu wa Saikolojia na Theolojia tu.

    Naomba mada hii ichangiwe na watu wenye madini kichwani siyo wale ambao vichwa vyao vimejaa matusi na kashifa. MASWALI: 1. Hivi mtu akiapa mbele ya Jaji, Mbele ya Rais kuwa atalinda Katiba halafu baadaye akashindwa kutekeleza, kiongozi huyo atastahili adhabu gani? 2. Mtu akiapa kuilinda...
  5. A

    Chadema ndiyo iko kwenye safari ya kuungana pamoja na PONA,TADEA, UMD,CHAUMA, kuelekea kifo?

    Naomba wapendwa katika JF hususan jukwaa la siasa, mnisaidie kudadavua hali hii, Baba wa Taifa hili aliwa kusema vyama vya upinzani visivyokuwa na sera madhubuti vitakufa bila kurogwa, Sasa cdm iliyokuwa ikijipambnua kwa Watz kupitia majukwaa kuwa ni chama cha Ukombozi, chama chenye hofu ya...
  6. A

    Kikao cha NCCR-Mageuzi ni funzo kwa vyama vya upinzani.

    Nimefuatilia kwa makini jinsi kikao kilivyoanzishwa na kugundua kuwa kiliendeshwa kwa kufuata Katiba, tofauti kabisa na ka-Chadema ambako wameishia kuchakachua Katiba kwa kuondoa ukomo wa M/kiti eti waliona baada ya miaka kadhaa hawatapata kiongozi mwadilifu na mwenye nguvu! Jamani haya ni...
  7. A

    Hizi Idara mbili zinautofauti gani?

    Kuna Idara ya Maendeleo ya Jamii na Idara ya Ustawi wa Jamii. swali langu kwenu nyinyi wachambuzi nomba mnisaidie kutofautisha Idara hizi pamoja na sheria za kutumia wakati wa kutekeleza majukumu yao.
  8. A

    Wana Jf Naomba Ufahamu wenu juu ya hili.

    Mtu kufanya mambo "instictively" , humaanisha nini juu mtu huyu? Je, kati ya vyama vyetu vya siasa kipi kinaendesha mambo yake "instictively"?
  9. A

    Chadema mtafuata Nyayo za Ngangali?

    Naamini sakata la Zitto na Chadema mwisho wake ni Chadema kumuomba Radhi Zitto kimya kimya na baadaye kujidai eti Zitto amekiri makosa yake, Zitto ameahidi kushirikiana na Viongozi wake na wapenzi wa Chadema na watanzania wote, Viongozi nao eti wamekubali kumsamehe na wamewaomba Watz wasonge...
  10. A

    Jihadharini na Siasa za Makundi

    kumeanza kujengeka mtindo wa siasa za makundi kila upande, mfano hivi sasa ccm kuna makundi makubwa, wapo wanadai wao ni Lowasa tu, wako wanaosema wazi sisi ni Sitta tu, hali kafhalika Mwakyembe,Membe n.k Upande wa Upinzani wapo wa Mbowe, Wa Slaa, wapo wa Ztto, wapo Lipumba, wapo wa Sharif...
  11. A

    Wana JF Tujitayarishe Kupata Katiba ya Taifa siyo ya Vikundi.

    Ndugu zangu napenda kuwaomba sana tujipange sawasawa kutoa michango yetu au maamzi yetu yaliyo muhimu na ya msingi kama alivyoelekeza mheheshimiwa Rais JK kwamba tusiburuzwe na makundi yasiyofaa hususan kama yale yaliyofunga ndoa ya mkeka, ambayo Wana JF wote mnayafahamu yalienda Ikulu kunywa...
  12. A

    Kupigana mbele ya Mahama ni Ukombozi Kwa Watanzania?

    Baada ya kuipitia taarifa juu ya kitendo kilichofanywa na hawa ndugu zangu wanaojiita eti "makamanda", kwamba wamechapana makonde tena wao kwa wao! Nimekubali kuwa Baba wa Taifa hili aliwahi kusema kuwa baadhi ya vyama vya upinza vitakufa bila kurogwa, kwani ni vya ovyo ovyo tu. Hebu angalia...
  13. A

    Ushabiki Wa Kiitikadi Kwa mwandishi Wa Habari ni Taaluma?

    Wana JF naomba mnisaidie kimawazo, nilikuwa nafuatilia mtu mmoja aliyeokota paparazi na kudai alikuwa Mahahakamani Leo wakati pingamizi la Mheshimiwa Zitto na wenzake likifanyiwa kazi na mahakama. Nilichoshangazwa na mwandishi huyu ni maneno aliyokuwa akitumia; mfano Tundu Lisu amemzomea Albert...
  14. A

    Hongera Rais JK kwa hotuba Makini

    Napenda kusema machache tu kwa yeyote anayenda nchi yetu, wakati JK anamueleza madhaifu yake Mh. Tundu Lisu kuwa ni mwanasheria mpotoshaji, tena kwa bahati mbaya wapo baadhi ya Watanzania kutoka vikundi Fulani huwa wanakubali upotoshaji wake. Rais tunaamino kwa kauli hii kuanzia sasa Watz hao...
  15. A

    Kada Wa CCM kujiunga na CHADEMA si Usaliti?

    Wana JF naomba ushauri wenu wenye busara, Mtu anadiririki kuleta topic kuwa kada maarufu Wa CCM eti amejiunga na CDM , mbona makamanda wengi wanapojiunga na CCM huwaambiwa wasaliti, mamluki, wanafiki n.k Je hii ni kulewa itikadi au uchanga Wa kisiasa ya vyama vingi?
  16. A

    Alivyosema Askofu Dalu kupitia TBC ni sahhi.

    Siku zote mtu akifikia hatua ya kukiuka kiapo alichokitoa mbele ya Mungu wake je atashindwa kukiuka kiapo cha Katiba ya Tz tu?
  17. A

    Wana JF tusihamaki pale tunapotofautiana kimawazo.

    Kumejitokeza baadhi na huenda ni wachache sana JF ambao mara wakiona thread ambayo kwa mtizo wao hawaipendi na mbaya zaidi hawatoi sababu kwa kujenga hoja, huanza kurusha mabango kwa kusema mra buku 7 hao, mara katumika, mra magamba, mara Lumumba, Watu hawa wanasahau kabisa kuwa kumkatalia...
  18. A

    Uchakachuaji wa katiba ya CHADEMA ni hatari kwa watakaokiamini chama hicho

    Kina ukiwa na Kompyuta mpakato nzuri kama ya Mwigamba jiandae kupigwa ngumi mbele ya Mwenyekiti wako wa Taifa, Jiandae kurushiwa tofari la block kichwani kama hujui kukwepa basi huenda ukawa mwisho wako, Jiandae kuvuliwa Nyazifa zako pindi tu ukitamani kuwa M/kiti Taifa huku ukifahamu fika...
Back
Top Bottom