Search results

  1. alohadm

    Wazoefu wa kuchepuka hii imekaaje?

    Huyo mke anataka nini kwani zaidi?
  2. alohadm

    Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

    Jaribu kuziforward mkuu tuzichote.namkubali sanaaa hasa kwenye faded
  3. alohadm

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Aiseee we jamaaa mungu azidi kukupa nguvu maanaa umetema madini ambayo yanafundishaa mambo mengi.
  4. alohadm

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mpuuzi wewe unasababisha watu tunadindishaaaaaa!!!! Ila ulimkomoaaa
  5. alohadm

    Leo Mchepuko wangu umejichanganya

    Ukiona manyoyaaaa
  6. alohadm

    Kuuhudumia mwili na kuifurahisha nafsi sio dhambi

    Jr umekuwa msaada wa mambo mengi kwa wale wenye kujitambua ila kwa watu wa masihara hawawezi kukuelewa. Kwangu nimekuwa mdau sana wa maada zako. Long live Mshana Jr. Sent from my SAMSUNG-SM-G930A using JamiiForums mobile app
  7. alohadm

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuunganishiwa umeme baada ya kulipia inachukua muda gani? TANESCO
  8. alohadm

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Takro zilipigwa ndani ya dk 5. Cnaga masihara mbele ya paruuu!!!
  9. alohadm

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siku 1 nilipigiwa simu na dadaflani jina (S) niende nikamsalimie kwao, baada ya kufika pale nakuta yuko pekeake maana wazazi wake walikuwa wamesafiri na katika kupiga stori mara kaleta chai pale huku stori zmenoga. Muda si mrefu kaja kukaa 0 distance nkajua huyu anataka chezo bila tongozo nami...
  10. alohadm

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Nilijiweka mbali nae ndugu sijui deatine yake!!!
  11. alohadm

    Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Kwa vigeza vyako tafta sex dols wamekidhi vifungu vya mashti yako!!!
  12. alohadm

    Ushauri: Anadai kuwa namuumiza

    Jamaaa umekuwa mbwa unanunduu!!!!
  13. alohadm

    Leo naenda kuperuzi hiyo simu, liwalo na liwe

    Hahahaaaaa ulilokuwa unalitafuta ulilipata buuureeee. Play youy part at a time to your dia 1.
  14. alohadm

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Nimekuwa karibu na mtu ambaye amekuwa na mahusiano na pepo. Dunia ina mengi sana jamani yaani ilifka wakati ukimuuliza tu habari ya hilo dude lake sauti inamkauka hapohapo na hawezi ongea tena mpaka kesho yake! Inatokea mpo matembezini mbali kabisa na nyumbani na mkiagana hazipiti dk 5...
Back
Top Bottom