Search results

  1. drphone

    Kiwanja for sale

    Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious tuwasiliane inbox
  2. drphone

    Natafuta software yakubadili sauti kuwa maandishi

    Wadau kama kuna mwenye kujua software ninayoweza kutumia kubadili sauti kwenda kwenye maandishi
  3. drphone

    [GUIDE] Galaxy S4 Sim-Unlocking

    1. Dial *#0011# 2. press Menu then tap BACK 3. press the Menu again the tap KEY INPUT then enter 1, (wait a few seconds) it auto jumped into service menu. 4. press Menu then tap BACK (not needed for me) Your are now in the SERVICE MODE MAIN MENU Tap [1]UMTS (may auto go into next menu (mine...
  4. drphone

    natafuta madalali wa maeneo ya moshi

    wakuu hbr zenu natafuta madalali wa viwanja maeneo ya kimashuku moshi pls yyto anaemjua ani pm
  5. drphone

    Habari wakuu natafuta kontena futi 20 very urgent wakuu

    Jamani hbr zenu pls natafuta kontena la kufanyia biashara mwenye nalo au aneejua naweza kupataje aniibox pls
  6. drphone

    Re: Nauza pickup carry

    Wakuu nauza pickup carry hijet namba bqj bei 7m maongezi yapo rangi ya blue ipo kwenye hali nzuri sana contact ni 0773280207
  7. drphone

    Jamani naitaji dume la german shepherd

    wakuu nina mbwa wangu jike ila sina dume la kulipanda na lipo heat naitaji mwenye dume zuri germansherpahad pls
  8. drphone

    jamani nisaidieni facebook inagoma kufunguka kwenye laptop yangu

    jamani tangu jana laptop yangu inakataa kufungua facebook ukifungua inasearch tu ila aifungui kabisa nikifungua site zingine safi
  9. drphone

    Flashing LED ON BB FONE

    Flashing LED The LED on the top of your BlackBerry® smartphone flashes different colors to indicate different statuses. Flashing LED color Description...
  10. drphone

    In Memory of Steve Jobs ~ iPhone 4 Casing

    Ktk kumuenzi steve job wachina wametengeneza casing za iphone 4 nimependa huu ubunifu kwa kweli nimeipenda sana cjui wenzangu
  11. drphone

    iTunes 10.5 Released by apple

    Apple today released iTunes 10.5, a new version of its media manager that adds a number of improvements and official support for devices running iOS 5. The next major version of Apple’s iOS is coming out this week on Wednesday, October 12th, and iTunes 10.5 will be required to sync...
  12. drphone

    Iphone 4S officially announced by Apple

    Apple’s Phil Schiller has just announced the iPhone 4S which is both GSM and CDMA compatible, sports the new A5 chip, and Schiller notes its”dual core graphics, which mean the graphics can be up to 7 times faster than in the previous iPhone”. The new device includes 8 hours of talk...
  13. drphone

    iOS 5 landing October 12

    You heard the man. Scott Forstall's on stage here at "Let's Talk iPhone" and just gave a hard date for iOS 5's arrival: expect it to hit next week, on October 12th. kazi ni kwetu
  14. drphone

    Read how to decode radio for newbie

    What is dump , where is eprom , what is it , how to read it ...ect Here is a small tutorial for these kind of info spécial NEWBIE . How to decode radio by reading eeprom dump : 1- Eprom or Mcu memory : There is lot of model radio mémory who store radio configuration and code...
  15. drphone

    How to handle with your car radio

    This is made for users without any experience with car radio !!! Brand new models are locked with several options ,anti theft ,Immo protection ,can-bus protection ,code locked and may be some more that I still not know! If you ,do not know which kind of protection your car radio have ,do...
  16. drphone

    PC Suite for android v3.1.1 Free

    http://dl.91rb.com/update/pcsuite/91...obilesetup.exe
  17. drphone

    Nokia Secret Codes

    *#06# To check the IMEI. *#0000# To check the firmware version and date *#92702689# *#war0anty# To check the IMEI. The date when it was purchased and the date when it was repaired. *4720# (*hra0#) To activates the Half Rate. #4720# (#hra0#) To deactivates Half Rate. *#3370# (*efr0#) To...
  18. drphone

    IPHONE 5 KUZINDULIWA 04 OCTOBER 2011 AT 10:00 am PT.

    wakuu habari ndio hyo k2 ya iphone 5 kutangazwa cku hyo mahali ni Apple’s Cupertino, Calif. campus
  19. drphone

    Iphone 5 specs and images leaked, see youtube video

    iPhone 5 Website Leaked - YouTube
  20. drphone

    Hivi huu ni uroho au?

    Wakuu nipo kwenye daladala laa gmboto limejaza gafla ugomvi unaanza kati ya mama wa umri wa kati na mwanaume mwanake anampiga huyu mwanaume tulipo hoji mwanake anaonyesha baibui lake lilivyochafuliwa na huyu mwanaume yy anaishia kusema samahani dada yangu nimepitiwa suruali nae imechafuka vibaya...
Back
Top Bottom