Search results

  1. K

    Bungeni: Maswali ya 'papo kwa papo' kwa Waziri Mkuu

    hawa jamaa hawataki kukubali kwamba wanatuibia,yaani kazi tuliyowachagua watuwakilishe ni ya kukaa pale mjengoni,na ambayo tunawalipa mshahara na posho nyingine za kutosha,bado pia wanapata posho za kujikimu wakiwa mjengoni,sasa hizi sitting allowances za nini??????wizi mtupuuuuu
  2. K

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    names labda kikisha kipindi alichowapa wajirekebishe wasipojirekebisha atawataja
  3. K

    He need your urgent help please

    kwakuwa dhamira inayokusuta sasa ni kwa sababu umempokea Yesu, unaonaje ukienda kwa viongozi wa kiroho ukapata ushauri wa kiroho kwa jambo la kiroho? ingawa pia mnaweza kwenda kuomba msamaha kwa wazazi kwanza kama lengo ni kutengeneza
  4. K

    Kwanini kila ajali ya basi la mohamed inahusisha kupasuka tairi?

    kwa nijuavyo mimi mabasi haya yamejengwa kwa bodi ngumu na chesisi nzito sana kiasai matairi yanshindwa kuhimiri uzito yanaobeba,na ndio maana utaona matairi yote yaliyopasuka kwenye ajari hizo ni ya mbele kunakokuwa na mzigo mkubwa na tairi ni mbili tu[moja kila upande]
  5. K

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    performance ipi hiyo inasubiriwa kwa miaka minne haijaonekana kwenye idara nyeti kama hiyo?
  6. K

    Samahani sana Mbw....o

    done
  7. K

    Hatari ya kuwinda

    mkuu mi sijaona kitu
  8. K

    Samahani sana Mbw....o

    na mmoja wao niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi
  9. K

    ktk hili tigo wamefulia

    NO hurry in afrika, everything starts late but ends in time, kwa wasiojua ni kwamba baada ya tarehe 31 line ambayo haijasajiliwa haitatumika mpaka hapo itakaposajiliwa,ikitokea line yako hujaisajili mpaka muda huo opereta wako atalazimika kukufungia huduma hadi utakaposajili ndipo utarudishiwa...
  10. K

    Dr. Lawrence Gama ameaga dunia

    rip, mkuu labda aliona mbali sana wakati huo[1995]
  11. K

    Huyu mkubwa yuko wapi siku hizi?

    duhh mkuu punguza munkari
  12. K

    Do you Think you Understand the Stock Market?

    simple and clear, nimeipenda,laiti na hesabu tungekuwa tunafundishwa kwa dizaini hii ukiacha ile ya let x = ....
  13. K

    Mtoto akilea Mtoto Mwenzake

    NL umenikumbusha mbali kweli,wenyewe kule kwetu tunasema umwana lulilo
  14. K

    haka katoto mi nakapendaga!

    aaaaaa hapo ndio palikuwa penyewe KABWA KA KISUNGU[mbwa wa kizungu]
  15. K

    Mtoto afariki dunia baada ya kukeketwa

    kwahiyo sikuhizi daktari akimfanyia operesheni mgonjwa akifa daktari anashtakiwa?
  16. K

    Lowassa vs Sumaye

    wahehe tunasema mbofu na ndenyefu/kufunya na kudeka kwa ufupi wote wanafanana
  17. K

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    dawa ya homa kali ni sindano,japo inauma
  18. K

    Waziri Magufuli apata PhD

    magufuli ni mmoja wa mifano ya watanzania wachache waliotokea chini na kufika viwango vya juu kabisa vya elimu,namkumbuka mwingine ni dk mshindo msolla wa sua,aliaza kama mwalimu wa shule ya msingi akajiendeleza hadi hapo alipofika
  19. K

    Udini Wizara ya Elimu

    kuna amani au uoga tu ndio maana bado tunaibiwa tu na hawa mafisadi. kuna amani gani ikiwa mimi nakosa dawa hospitali na ninajua aliyekula pesa ya kununulia dawa hizo na sina cha kumfanya, kuna amani gani ikiwa mimi na mifugo yangu tunatumia maji yenye sunu na aliyetiririsha sumu hiyo mtoni...
  20. K

    Kwa nini tunaendelea kuwapigia kura viongozi ambao hawaperform ktk kipindi chao

    yaani hapo ndio huwa siielewi hii strategy ya nambari wani,wanatuonesha kwamba wapinzani wakishindwa kutakuwa na vita,hivi hii si inamaanisha kuwa wao wakishindwa ndio wataazisha vita?vinginevyo sioni kwanini waseme wapinzani wakishinda kutakuwa na vita.
Back
Top Bottom