Hivi kama wizara hii ingekuwa inafuatilia vitu vya maana kama ufanisi kazini kama inavyofuatiliaa vitu hivi visivyokuwa vya maana tungekuwa mbali sana!!
Kuwa kiongozi lazima ujue wakati gani wa kujibu na wakati gani sio wa kujibu na wakati wa kujibu ujibu kitu gani!
It's obvious huyu kakurupuka kama viongozi wetu wengine, sitoona ajabu kusikia Kuwa alishauriwa na viongozi wengine.
Hoja ni tovuti ya Bunge kilichokuwa kimeandikwa kinatia shaka...
Nilichojifunza leo
1. TBC ni aibu
2. Mtu yeyote anaweza kuwa Waziri.
3. Katibu mkuu kiongozi ana uwezo
4. Tutegeemee kubadilishwa mawaziri kabla mwisho wa Mwaka.
Mimi naona kama hii ni pesa kama zingine sidhani kama ni kwaajili ya ku investment kwenye yenyewe, basi itumike kama pesa. Sifa ya hii pesa ni kwamba hakuna anayeweza kumjua anayelipa na anayelipwa, kwa Sifa hii pekee sitegemei kuona bank yoyote itakayo support kwasababu wakikubali maana...
Hiii pesa ina uzuri mmoja mkubwa sana, it is untraceable. Yaani ukilipwa au ukilipa hakuna anayeweza kujua amemlipwa au amemlipa nani! Wewe unalipa au kulipwa kupitia anuani ya wallet tuu ambayo haihitaji chochote cha kujitambulisha.
Mfano hii ni anuani 1Mx3kd4WTQu7chDM9qKqttbL6fh9rdzzG5...
Paul S S, Kwanza napenda nikushukuru kwa kuanzisha hii thread ambayo tunaweza ku "share" experience za matumizi ya G6 ambapo pia tunaweza kuelekezana ili tupate kukitumia kifaa hiki vizuri zaidi.
Kwa mawazo yangu kitu kinachotumiwa na watu wengi lazima kitakuwa na experience tofauti. Nimepata...
Wakati TCRA wanaamua watu walipiga makofi, hamna aliyewakumbuka Walala hoi! Wakati US wanafanya uamuzi kama huu waliwalipia hela wananchi ambao hawakuwa na uwezo. Sisi tusiokuwa na uwezo tunajiamulia Tuuu! Bila kufikiria!
Hii ni dharau kubwa sana. Yaani mnakaa kabisa kwenye mikutano yenu huko kwenye ofisi zenu na kuamua kutoa taarifa kama hiii! Shame on you ! Hamna hata mtu mwenye upeo kidorgo akawapa jicho la nje.
Kanusheni basi kama huyo "Rama" sio mfanyakazi wa idara na hizo details sio zake kama mnaweza!
Unafikiria kwa kutumia ubongo au kutumia kiungo kingine? Hao wapuuzi ndio unawakumbuka wakati pressure ya damu ya wazazi wako inapopanda halafu wakikwambia ufanye brain scan kwa wazazi wako unawakimbiza India na wewe unaona sawa tuu. Angalia vitu kwa upana zaidi! If you can't see it the it's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.