Ni Mwendo wa porojo tu, kashindwa kuongeza mishahara, kashindwa kupunguza payee, Kashhinwa kulipa malimbikizo, hata madeni ya uhamisho hatali hata ifike mei mosi 2025
Tangu julai nilipoteza matumaini maana lile punguzo la Payee ya asilimia 1 kuwa sh 2500/= liliniletea maumivu makali maana ahadi yake aliyoitoa mei mosi ikawa ni uwongo dhahiri
TAMISEMI ni wizara iliyolundikiwa idara nyingi ndo maana haitawezekana kuwa na ufanisi, hakuna waziri aliewahi kuimudu wizara hiyo badala yake imekuwa wizara yenye madudu kibao kuliko wizara yoyote hapa nchini, dawa yani kupunguza idara nyingine ziende wizara mama, mfano elimu na afya
Kuna ukamataji unafanyika hapa Masasi eneo la maili 6 na Mtandi kupitia picha au torch fake, ukiendesha gari speed ya 20 au hata 40 wanakuandikia speed ya 72 hadi 80. hawa nao wanatunyanyasa sisi madereva. yamenikuta haya ktk kituo hiki mara 3 sasa hadi nadiriki kusema hiyo torch yao ni feki...
Yawezekana msimu wa korosho umewabeba watoto pamoja na watu wazima pia maana fikiria iwapo mtu analipwa sh 10000 kwa siku hadi msimu uishe atakuwa na kiasi gani cha pesa?
Tofauti ni kwambi mwezi wa saba ya kabla ya 2016 nilikuwa naishi kwa kumkaribia malaika, lakini mwezi wa miaka kuanzia 2016 naishi kama shetani na inawezekana ifikapo 2020 nitakuwa shetani kamili kimaisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.