Huyo mbunge Neema anasema baada ya kuelimishwa kaona kikokotoo kipo vizuri basi angetumia muda aliopewa na spika kuwashawishi wabunge wenzake nao waanze kukitumia. Na ikifika mwakani bunge linapovunjwa wasipewe mamilioni yao yote kwa mkupuo badala yake wapewe 33% halafu zinazobaki wapewe kidogo...
Ahadi mojawapo ya chama chetu kikongwe inasema binadamu wote ni sawa -
1. Kikokotoo kinachotumika kwa wafanyakazi kuanzia sasa kianze kutumika pia kwa wabunge wetu kwani watanzania wote ni sawa. Na kikubwa zaidi hata mbunge Neema kasema ni kizuri.
2. Viti maalum viondolewe ili kila anayetaka...
Nimeangalia "clip" ya MO nimejiridhisha kuwa katika matatizo makubwa iliyonayo Simba basi Mo ni jipu namba moja linalohitaji kutumbuliwa tena haraka sana. Toka lini mashabiki wenye uwezo na uelewa tofauti wakafanya kazi ya kitaalamu ya kusajili na kutimua wachezaji? Je kazi ya benchi la ufundi...
Ondoa Aubin Kramo na Miquison kwenye hiyo listi yako hao bado ni wachezaji wazuri ambao wanaweza kuisaidia sana Simba msimu ujao. Ila Ongeza Babcar Sarr kwenye list yako kwa wale wa kuondolewa Simba. Na hapo kumrudisha babu Onyango weka beki mmoja king'ang'anizi mwenye akili kubwa sana ya mpira...
Benchika mtamuonea bure. Majipu pale Simba yapo matatu Try Again, Mangungu na Kajula. Hivi pesa waliyotumia kuwasajili Freddy na Jobe unapata wakina Lusajo wangapi ambao wanaweza kufanya kazi ya kiume uwanjani.
Huyo Freddy mwili jumba na ameenda hewani sekunde lakinu bure kabisa. Krosi...
Nadhani Mo kazeeka sasa. Mo kijana alikuwa akiona tu kocha anazingua anamtimua fasta. Sasa hivi kamuachia timu Try Again ambaye timu imemshinda kabisa kuongoza lakini cha ajabu hajamtimua mpaka leo.
Try Again na Mangungu wameshaonesha kuwa hawaujui mpira na fitina zake na ndio maana sasa hivi Simba imekuwa timu ya hovyo kabisa. Na inaonekana kama vile watu wanaojua mpira Simba na wanaoweza fitina za mpira wakina Magori na Kaduguda japo bado wapo Simba lakini ni kama vile wamekaa pembeni...
Ushauri wa bure kabisa kwa wanasimba.
Timu ichukuliwe kuanza sasa iwe chini ya viongozi wa matawi ya mkoa wa Dar es salaam wakiongozwa na "field marshal" Hassan Dalali mpaka baada ya tarehe 20/04/2024 usiku baada ya hapo timu warudishiwe Mangungu na Try Again. Vinginevyo timu wakiachiwa...
Ukweli mchungu lakini ndio ufumbuzi wa kila kitu kabla ya yote Simba ianze na usajili wa viongozi. Simba iwaondoe Try Again and Mangungu haraka sana kabla ligi haijaisha. Kwenye uongozi Simba iwasajili haraka sana watu wenye kujua fitina za mpira Magori na Dalali pale juu hata kama ni kwa...
Hivi iliwezekanaje kuvunjwa kwa mkataba wa Sawadogo ambao ilisemekana ni millioni 700 halafu ikashindikana kuvunjwa mkataba wa huyo mkalimani ambaye ameigharimu Simba pakubwa kuanzia CAF, Federation na sasa anaenda kuimalizia safari ya matumaini kwa Simba kwa mwaka huu kwenye ligi.
Na huyo...
Kwa viongozi waliopo Simba sasa hilo la Saidoo kuwa na mkataba unaomtaka acheze mechi zote dakika zote linawezekana kabisa. Haiwezekani iwe mipira yote inafia kwa Saidoo halafu makocha wataalamu kuanzia Robertino na sasa Benchika hawaoni hilo tatizo.
Kingine cha kuchekesha ni pale unaona...
Huyo Mo naye mzinguaji sana. Kwenye usajili anasajili washambuliaji wa bei rahisi wa milioni 100 halafu huku kwenda nusu fainali anajua kabisa hao wachezaji wa bei rahisi hawawezi vuka labda utokee muujiza kama wa ngamia kupita kwenye tundu ya sindano anajitia kutoa ahadi ya milioni 500 kama sio...
Ila Simba safari hii wamepatikana kwa huyu Try Again ongezea na Mangungu. Wakati Hersi anaingia rasmi kwenye mpira miaka michache iliyopita wajanja wakawa wanampa za uso kwenye usajili. Baada ya miaka miwili/mitatu sasa Hersi walau yupo vizuri kiasi kajifunza kitu kwenye usajili japo mara moja...
Tunashukuru sana kwa utendaji kazi uliotukuka. Lakini ili kupunguza haya matukio nina maombi kadhaa kwako kama waziri na kama mzazi:-
1. Ifike mahali sasa mmiliki wa shule na wakuu wa shule yanapotokea haya matukio itafutwe njia ya kuwawajibisha kutokana na tabia zao za kuficha matukio kama haya...
Huu upuuzi wa machawa ulionzishwa Tanzania umeenea kila mahali sasa. Hao wazee ni machawa tu wa viongozi. Wao badala ya kujadili hoja aliyoianzisha Kaduguda wao wanakimbilia tu kusema hawamtaki Kaduguda. Kwa hali hii itawachukua Simba muda mrefu kutoka kwenye mkwamo waliopo sasa hasa kwenye...
Kwa jinsi huyo mkurugenzi alivyojibu akiwa anajiamini naamini hata huyo mkurugenzi mwenyewe wala hata hajui tofauti kati ya mhandisi kilimo na mhandisi ujenzi. Kwa huyo mkurugenzi ili mradi wote wawili mwishoni kwenye "title" zao kuna neno engineer basi akajionea tu wapo sawa ampe kazi mhandisi...
Yeyote mwenye kujua huu wimbo alioimba Selemani Mbwembwe anisaidie jina lake jamani. nimejaribu kutafuta jina la huo wimbo muda mrefu kidogo na sehemu mbali mbali bila mafanikio.
Naomba mwenye kujua jina la wimbo alioimba Selemani Mbembwe wenye kibwagizo kifuatacho; bwana ee e hali hii mpaka lini nasema, ukiamka na shida za leo na za kesho zinakungoja'"
Ukiona boda boda haina hivi vioo chukua tahadhari kwani wengi wao ni walevi wa visungura na pombe nyingine za bei rahisi. Akishakunywa pombe akakutana na mwanga wa jua mchana au taa za gari usiku zikapiga kwenye hivi vioo halafu ukarudi kumpiga usoni mwendeshaji anapata wenge hasa ukizingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.