Search results

  1. Jeff

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya. Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili...
  2. Jeff

    Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  3. Jeff

    Msaada kuhusu ukokotoaji wa ushuru wa gari TRA

    Habari wandugu! Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age). Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa...
  4. Jeff

    Msaada wa haraka hapa unahitajika ndugu zangu

    Naomba kujua nianzie wapi msaada tafadhali. Kuna kijana mmoja na mzee mmoja wamenitapeli pesa ambayo nilikuwa nawapa kwa ajili ya kilimo. Kuna baadhi ya pesa tulipeana kimaandishi na zingine hamna maandishi. Na hao watu wote sifahamiani nao kwa karibu. Sasa wamenitapeli kwa hiyo natafuta msaada...
  5. Jeff

    Nauza smart watch aina ya samsung s2

    Nauza smart watch aina ya samsung s2. Zimebaki 2 tu. Niko morogoro. Dar pia utazipata kwa urahisi. 0677177140
  6. Jeff

    Nauza Samsung galaxy grand max ni mpya

    Samsung galaxy grand max ni mpya kabisa na ni original kutoka Korea. -ni line moja -GB 16 -ina camera yenye ubora wa hali ya juu Zinapatikana Dar, Moro na Dodoma Wahi zimebaki chache. 0677177140/0620271291
  7. Jeff

    Samsung galaxy grand max inauzwa

    Nauza samsung galaxy grand max. Simu ni mpya na ni original kutoka Korea. Zimebaki chache. Serious buyers ONLY. 0620271291
  8. Jeff

    Msaada wakuu LGx400 haizimi data

    Wakuu nina lgx400 haizimi data. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kuflash. Msaada jamani!
  9. Jeff

    Nafasi za Kazi

    ONLINE JOB/WORK FROM HOME 1. Ingiza kipato cha $5-$100 kwa siku popote ulipo kwa kutumia facebook page yako au social network zingine 3. Uwe angalau na ujuzi kidogo wa kutumia internet na lugha ya kingereza 3. Lazima uwe na smartphone au computer 4. Kwa maelezo zaidi njoo inbox NB:KWA WALIO...
  10. Jeff

    Part time Job available

    ✅ Part time/full time job. 1. Earn 20$-100$/day 2. ALL COUNTRIES ARE INVITED 3. Investment free joining and Free guidance. 4. 100% legal. We are giving our all proof of work and payment. 5. Only serious candidates are required. You should have a little bit of Internet knowledge and English...
  11. Jeff

    Public health na kujiajiri

    Habarin Wadau Mimi naomba kuuliza kuhusu hii kozi ya public health (MPH).Je mtu anawezaje kujiajiri akisoma hii kozi? Na vipi kuhusu soko lake la ajira kwa sasa na baadae? Karibuni wadau kwa michango yenu. Na ushauri pia
  12. Jeff

    Power bank za solar na simu.orijino kwa bei rahisi

    Habarin wadau. Nauza simu aina ya samsung na LG, power bank za solar na projector..mzigo utaingia tar 24 december toka Korea. Nicheck inbox
  13. Jeff

    Ninauza power bank za solar

    Habarini wakuu. Power bank za solar zinauzwa. Ziko chache wahi mapema. Nipm inbox
  14. Jeff

    SIMU ORIJINO TOKA KOREA ZINAUZWA

    Habar zenu wakuu. nauza simu zifuatazo: 1. LG 3 cat6-550,000tsh 2. samsung s3- 350,000tsh 3.samsung s4- 420,000tsh 4. samsung note 2- 450,000tsh 5. samsung note 3- 600,000tsh 6. LG pro- 500,000tsh NB: simu zote ni original line moja , mzigo utaingia tar 24 kutoka Korea aina zingine za simu pia...
  15. Jeff

    SIMU ZINAUZWA (LG 3 CAT6 INAUZWA)

    Habar zenu wakuu. nauza simu zifuatazo: 1. LG 3 cat6-550,000tsh 2. samsung s3- 350,000tsh 3.samsung s4- 420,000tsh 4. samsung note 2- 450,000tsh 5. samsung note 3- 600,000tsh 6. LG pro- 500,000tsh NB: simu zote ni original line moja , mzigo utaingia tar 24 kutoka Korea aina zingine za simu pia...
  16. Jeff

    Simu original kutoka KOREA kwa bei rahisi

    Habari zenu wanaJF, kwa wale ambao watahitaji simu aina za samsung, LG na iphones zote ni original kutoka South Korea. nitakuwa bongo December ya mwaka huu 2016. kama unahitaji nitumie pm inbox tuwasiliane kwa kuweka order yako. zitakuwepo za bei ya chini kuanzia 250,000 na kuendelea. Laptops...
  17. Jeff

    Msaada: blog/site yangu imekuwa suspended

    Habarini waungwana wadau wa JF hasa jukwaa hili Mwenzenu blog/site yangu haiko hewan kwa ghafla tu na sijui tatizo ni nini, nikifungua inaniambia account suspended hapo mwanzo nilikuwa na adsense na zilikuwa zinadisplay kwenye site lakini baadae zikapotea tu, nilipofuatilia inaonekana google...
  18. Jeff

    Nyumba inauzwa kihonda-Morogoro

    TANGAZO: Nyumba inauzwa, ipo maeneo ya kihonda karibu na mizani, ina ukubwa wa vyumba 3 vya kulala,kimoja ni MASTER, jiko, dinning, sitting room, choo na bafu. Na eneo nyumba ilipo lina ukubwa wa ekari moja, bado kuna eneo kubwa limebaki waweza kujenda nyumba ingine,nyumba imezungushiwa ukuta na...
  19. Jeff

    Naombeni msaada wa kisheria na ushauri

    Habarini za Usiku huu wana JF. Naombeni msaada au ushauri kwa jambo hili. Nimetumia parccel kutoka nje ya nchi (smartphone 2) kwa EMS, risiti inaonyesha siimu zina gharama ya usd 80 na jamaaa amelipia insurance. baada ya mzigo kufika bongo posta wakaaniambia niende TRA ili wafanyee hesabu ya...
  20. Jeff

    Adsense hazi-display tena kwenye site yangu-msaada

    Habar zenu wana JF Naombeni msaada, nina site yangu (Udaku Leo - Pata udaku daily) ambayo hapo mwanzo adsense zilikuwa zinadisplay bila tatizo kwa zadi ya mwaka, lakini sasa ghafla tu zimeacha kudisplaya na sijapata information yoyote kutoka kwao kwa nini adsense hazidisplay kwa sasa. naombeni...
Back
Top Bottom