Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi.
Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.
Pro Russia wanakuona wewe ndo great thinker wao.
7F ni janga la kitaifa. Jitahidini basi angalau muwe mnajisomea ili muelimike muachane na porojo na propaganda za kumezeshwa.
Lakini kwa kujifanya mnajua mambo kumbe hamjui kitu hamtakaa muelimike. Ili uelimike unahitaji uwe LLUK. Tafuta maana...
Huenda baba yako ni shoga alikuzaa kupitia matakoni. Huenda ndo maana akili yako ilichanganyika na mavi. Maana unachoandika ni uharo mtupu. Illogical statements
Baada ya kurukaruka sana kama pimbi, sasa hebu tujibu haya maswali.
Hebu tutafakari hoja hizi;
1. Kwa kuwa Finland ni mwanachama wa NATO. Je, Russia atadhubutu kurusha hata bomu la mkono nchini Finland kwa sasa?
2. Russia ana ubavu wa kuizuia Sweden isijiunge na NATO kama ambavyo...
1. & 2. Hakuna aliyekukatalia kuwa ZNPP is under control of Russia troops. IAEA ndo wanasimamia ZNPP si vinginevyo zingine ni porojo tu.
3. Link zako zote ni utopolo hazina mahusiano na unachokisema. Ili ujue kuwa wewe ni mjinga zifungue uone.
4. Ni propaganda tu. Neuclear Reactors zote ziko...
Rudi ukasome link niliyokutumia kuliko kuja na porojo ambazo hata hazipo au hazijasemwa. Sababu zimewekwa wazi kwa nini zili collapse. Wapi wamesema kuwa kuongezeka kwa interest rate ndo kumefanya hizo benki zi collapse.
Kama ni issue ya interest rate kwa nini mabenki makubwa hayajaanguka?
Ama kweli wewe ni kilaza.
1. Kwa hiyo hujui kuwa ZNPP iko chini ya usimamizi wa IAEA.
2. Ni mwaka gani grid ya umeme ilijengwa kutoka Ukraine kwenda Russia. ?
3. Kwa kuwa umeme wa ZNPP unaenda mpaka Crimea. Crimea iko nchi gani?
1. Nilijua hutaelewa kilichoandikwa. Kwa kuwa wewe ni mazalia ya 7F sijashangaa.
2. Hebu tuwekee hapa sera unazodai ni za Federal Reserve na athari zake ili na sisi tuzione. Maana sisi sio waumini wa porojo.
3. Narudia tena kusema huna abcd za uchumi hata chembe. Labda kama ni Porojo economics.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.