Kumbe ulioa kichwa cha panzi? Maamzi yako yametulia kabisa! Kichwa cha panzi kwa karne hii hakifai kabisa mkuu timua fasta aiseeeeeeee! Ila nini kilikuponza? Uzuri wake au? Utafiti muhimu karibia asilimia 90 ya wanawake wazuri kupitiliza awanaga akili kabisa!
---- yake imemuwezesha kuyafikia maendeleo haraka kama alivyopanga, kama mkuu wa nchi asingetanuliwa hata nyumba ya milioni kumi angejenga mjinga huyo? Mmewe mtarajiwa kapenda kweli au naye katamani mshiko kutoka kwa jomba? Ikitokea mafisadi wote wakafa siku moja nadhani wananchi wa tz tunaweza...
Viongozi wa CCM asilimia kubwa ni wendawazimutu, kwanza kinana kweli mtanzania? Napata shida kupata jawabu sahihi naomba msaada kwa wanajf. Pili nape inaonesha bado ana fikira za kizamani sana watz wa sasa hawadanganyika naona yeye na wajinga wenzie wanaigiza kula wali kwa maharage wajinga...
Wasomi wetu wa siku hizi nimeamini ni vichwa maji kabisa! Wanaopenda kuamini kila kinachosemwa angalieni ipo siku mtaambiwa ukila MAVI unapona kisukari na magonjwa mengine yasiyo kuwa na tiba! Hahahahahahahahaah wasomi wa bongo kweli wadwanzi kweli!
Mbatia ni jembe la ukweli kama vp wanaccm chukueni Ubunge wenu kwani uliutumia maombi? Mlijipendekeza wenyewe sasa mnalalama nini kama si wehu? Mh. Mbatia piga kazi wala usiwasikilize wajinga kutoka CCM wana mipasho wale
waccm wajinga sana, kama wanzuia chopa siku ya uchaguzi basi pasiwepo na usafiri wa aina yoyote ile miguu yao pekee ndio itumike kama usafiri la sivyo chapa za makamanda lazima zitumike. Kama vip wakanunue na wqao kama wanaona cdm wanafaidi kwani shida iko wapi au hazina imeishiwa? Rit kaimaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.