Search results

  1. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Haya wale waliofanya oral ardhi pdf ipo tayari nendeni mkaangalie Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  2. kiri12

    Msaada kwa mliowahi kufanya usaili wa Information Officer (Afisa Habari)

    Kila hatua hapo zisipungue points tano ili uweze kutoboa kwenye above 50
  3. kiri12

    Msaada kwa mliowahi kufanya usaili wa Information Officer (Afisa Habari)

    Kwanza ufahamu majukumu yako kiujumla, hatua za kuandaa press release na press conference, functions za afisa habari, crisis managements vingine endelea kumbuka vya darasani, vya pr
  4. kiri12

    Mshahara wa mtu mwenye degree mbili serikalini unakuaje?

    Unaweza kubadilisha ukiwa kazini, wanaita kucategorize unaenda utumishi wanakula utaratibu wa kubadili kada Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamani hii ni kweli kabisa, haya mambo ya kutangaza sio mazuri hata wazazi wako saingine inabidi usiwaambie maana hujui wao wanawaambia wanani, mi kazi niliyopata siku naenda kwenye sail hakuna aliyejua, wakati wa oral ni vile nilikuwa naenda Dom ndio walijua lkn written nilipiga kimya kimya na...
  6. kiri12

    Natafua betri ya mashine ya Selcom

    Mi ninayo hiyo mshine mpya kabisa, nipe 350
  7. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimemaliza 2009 Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nawashukuru sana, wakati wa Mungu ni sahihi kabisa, mi nilifanya oral mwezi wa pili mwaka huu zile nafasi za mda na lga, status both selected for oral interview, kitaani tangu mwaka 2009, kwahyo msikate tamaa ndugu zangu, maombi yenu kwa Mungu anayasikia na muda ukifika utapokea kilicho sahihi...
  9. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Namshukuru Mungu sana, hatimaye namimi leo nimelamba asali, tuendelee kumuomba Mungu. Nitazidi kuwaombea ndugu zangu na nyie mpate ajira mi baada ya kusubiria kwa mda mrefu sasa ni zamu yangu ya kuingia kwenye kula keki ya taifa. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  10. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna pdf mbili huko nendeni mkaangalie mlete ushuhuda huku Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  11. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapoi wala haboi, anaweka vitu juu ya vitu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  12. kiri12

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Embu fafanua kwanza inakuwaje? Na wakala anapataje faida? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  13. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Itakuwa at website ya psprs haifahamu, msamehe bure Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  14. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna pdf kule, nendeni mkaangalie mlete ushuhuda hapa Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  15. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  16. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna pdf kule nendeni mkaangalie Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  17. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakati humu wamo Hadi wa 2009 Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  18. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana kiongozi, ukawe mtumishi mwema huko. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  19. kiri12

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama unaenda hizi saili za keshokutwa tafuta affidavit kwa usalama wako maana kama deepol utachelewa unaweza kufika kule kwenye ukaguzi wakakukataa ukajikuta umeingia hasara Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom