Search results

  1. Mbalamwezi1

    Ombi langu kwa Club 7 Ngalawa (Royal) Dodoma; live ya TNC ihamishiwe Jumamosi

    Mimi ni mmoja kati ya wapenda Burudani na muumini mzuri wa Live Band. Toka nimehamia Dodoma mwaka 2017 nimekuwa nikihudhuria Burudani ya Live Band sehemu Moja tu ninayoikubali nayo ni Royal. Hapa kuna Live Band mbili kati ya TNC chini ya Taz (inapiga Ijumaa na J2) na Bendi ya Bushoke (inapiga...
  2. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa Tanzania ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani. Halafu always utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati...
  3. Mbalamwezi1

    Vijana wa Lumumba Dar es salaam

    Pale unapowapa vijana wa Lumumba wakurembee gari lako, mambo huwa hivi 😂 😂 😂
  4. Mbalamwezi1

    Otimbi na timbiliyoo

    Yope! Uzi tayari
  5. Mbalamwezi1

    Majina ya Vitongoji vya Dar yenye vibwagizo amaizing

    Mfano: -Tegeta kwa Ndevu -Buza kwa mama K -Tandale kwa Tumbo [emoji16][emoji51][emoji23] Haya twende sasa.......
  6. Mbalamwezi1

    Kijenge

    Mambo vp machalii?! Naombeni kuuliza hivi Kijenge ipo kata ipi? Asante.
  7. Mbalamwezi1

    Mabaharia wote Jumapili ijayo ibada mlima wa moto

    Mabaharia wenzangu najua mtakuwa mmenielewa sio lazima mpaka tupelekwe na Upepo wa Kisulisuli![emoji14][emoji13][emoji39][emoji39]
  8. Mbalamwezi1

    Mbio za magari(Rally) na Subaru

    Mambo vp wazeiya wa JF?! Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi fulani mashindano ya magari kwny TV hasa Azam TV, karibu ya asilimia 98 ya magari yanayotumika ni Subaru tena Subaru yenyewe Impreza na Mitsubishi Evolution X kidogo, kwa nini Subaru Impreza tu ndo inaonekana inatamba kwny haya...
  9. Mbalamwezi1

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Katika tukio la kifo lililotokea majuzi kule Arusha likimuhusisha mwanamke(marehemu)na askari wa JWTZ. Wakati RPC wa Arusha anaongea na waandishi wa habari alitoa kauli ambayo alisema kuwa ktk vyeo vya JWTZ anayemzidi kwa cheo ni Brigedia Jenerali kwenda juu!! Najiuliza ulinganifu huu...
  10. Mbalamwezi1

    Abood Bus acheni kusimamisha na kukalisha watu kwenye korido

    Leo nilikuwa nasafiri na bus la Abood no. T 901 DKY toka Dar - Moro kwenye korido ya hili bus kuna abiria watatu wakiwa wamesima na wengine kadhaa wakiwa wamekaa sakafuni, jambo ambalo ni hatari kwa hawa abiria. Nitoe wito kwa mamlaka husika kufanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye haya mabasi na...
  11. Mbalamwezi1

    Vitambulisho vya Wajasiriamali Arusha, hadi Mafundi gereji wanatakiwa kuwa navyo?

    Wakuu Swaalamaaah...... Watu wangu wa Arusha nina hii habari/kero kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali Arusha! Nina dogo wangu nimempeleka gereji moja mkoani Arusha akajifunze ufundi wa magari kwa vitendo mimi nipo mkoa mwingine. Sasa juzi kati hivi kanipigia simu eti inatakiwa elfu 20 kwa...
  12. Mbalamwezi1

    Only in Tanzania Biashara ya Biriani inatangazwa kwa kuonesha na kutingisha makalio!!

    Dah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya marketing!!!mmmmxiuuuuuuu ptuuuuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mbalamwezi1

    Lucky Dube: It's Not Easy

    Aisee! Huu wimbo unanigusa zaidi ya 90%, hapo kwenye kipande cha divorce tu ndo bado, ila ukweli ni kwamba nilipomwambia tu mama'ngu kuwa nimepata mchumba nataka kumuoa aliniuliza hili swali "je,unamfahamu vzr huyo mwanamke?" Kwa kujiamini kabisa na kwa kuwa nilikuwa nampenda huyu mwanamke...
  14. Mbalamwezi1

    Vijana wa bongo na "chura"

    Hapa vijana wa bongo kabla ya yote lazima wathaminishe kwanza kama ana "chura" ama la!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mbalamwezi1

    Wadada Hala hala na Savanna!!

    Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa kiwanda kinafungwa! Kunywa kwa kiasi 2 hadi 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mbalamwezi1

    Kwako Mh. Makamba.....

    Mh. Makamba hivi hujui kuwa kuna watu ni mizigo ingawa bado wako hai[emoji19] [emoji18] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Mbalamwezi1

    M.A.M.A.(Mungu Amlaze Mahali Anapostahili)

    Hii ni kwa marehemu wote na marehemu watarajiwa. Mambo ya kumpangia Mungu eti mlaze mahali pema peponi hiyo sio kazi yako ni Mungu pekee ajuaye nani wa kumlaza pema peponi na nani wa motoni! Hivyo hakuna mambo ya RIP hapa! Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Mbalamwezi1

    Instagram wadada wengi wa kibongo wanapiga na weka picha kuonesha kalio

    Salama wakuu.... Aisee yani leo ndo nimeamua kubrowse insta, nimekuwa na akaunti insta lakini siitumia mara kwa mara sasa leo nikaona ngoja niperuziperuzi kidogo! Ee bana eeh!! Yani kule kumejaa picha za wadada wakionesha makalio na hips tu, hakuna wabaya kule kila mmoja ni mrembo ana tako au...
  19. Mbalamwezi1

    Je, nikitaka kupakua Tigo pesa App ni lazima niwe natumia internet ya Tigo?

    Hivi nikitaka ku install Tigo Pesa App ni mpaka niwe natumia intanet ya tigo?!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Mbalamwezi1

    Kwanini watoto wengi wa kiume siku hizi wanaitwa Junior?

    Leo bana nimekapeleka katoto kangu kuanza shule hizi za FM Academia (Ya ada ya kawaida tu sio kama ya IST au FEZA), sasa basi nimekutana na kina Junior wa kutosha, yani vitoto vingi vya kiume vinaitwa Junior, ni sauti za kinamama zinasikika "We Junia njoo hapa....we Junior acha fujo.......You...
Back
Top Bottom