Search results

  1. Mbalamwezi1

    Ombi langu kwa Club 7 Ngalawa (Royal) Dodoma; live ya TNC ihamishiwe Jumamosi

    Mimi ni mmoja kati ya wapenda Burudani na muumini mzuri wa Live Band. Toka nimehamia Dodoma mwaka 2017 nimekuwa nikihudhuria Burudani ya Live Band sehemu Moja tu ninayoikubali nayo ni Royal. Hapa kuna Live Band mbili kati ya TNC chini ya Taz (inapiga Ijumaa na J2) na Bendi ya Bushoke (inapiga...
  2. Mbalamwezi1

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Wewe unafikiri hizo kamati za ulinzi na usalama zinakurupuka bro. Hizo kamati pia zina waislamu walishapandikizwa huko na wakaona kuwa wanachofundishwa ni zaidi ya karate na judo
  3. Mbalamwezi1

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Ikiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga!
  4. Mbalamwezi1

    Wale wa TRA mkeka upo hewani

    kuna watu wana added advantage, pamoja na kuwa na lower second unakuta mtu kuna sehemu aliwahi kufanya kazi, hivyo ana experience au kuna ujuzi mwingine anao zaidi ya hiyo ya GPA darasani>
  5. Mbalamwezi1

    Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

    Huwezi kumkomboa mwanamke kwa kumshusha mwanaume
  6. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Ipi braza maana kuna disco 2,3,4, sport nk
  7. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Braza unamiliki toyota gani vile?
  8. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Nitabadilika nikishaachana na matoyota nikahamia ndinga za Ulaya
  9. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Zero na kuendelea, karibu kwny ulimwengu wa povu
  10. Mbalamwezi1

    Gentlemen Cars in town

    Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa Tanzania ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani. Halafu always utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati...
  11. Mbalamwezi1

    Walaji wa nguruwe wapewa tahadhari kutokana na uwepo wa minyoo hatari inayoleta kifafa cha binadamu

    Yani mujahidina bana mnanifurahishaga sana, yani linapokuja suala la mnyama pendwa huwa mnajifanya mnaijua qur'an lkn yale mambo yetu mengine mnajifanyaga kama kwny qur'an hayapo!! Mnafiki hatoiona pepo!!
  12. Mbalamwezi1

    Kufeli kwa Serikali kuhamia Dodoma

    Sio lazima tufanane au tufanye kama wanavyofanya wao! Acha tufanye yetu na ndo tumeshahamia Dom hakuna kurudi nyuma
  13. Mbalamwezi1

    Vijana wa Lumumba Dar es salaam

    Pale unapowapa vijana wa Lumumba wakurembee gari lako, mambo huwa hivi 😂 😂 😂
  14. Mbalamwezi1

    Demu ukimpa nauli elfu 20 atakuambia nipe basi hela ndogo ya nauli hii nna matumuzi nayo, ukiongez elfu 5, atakuambia hauna chenji chenji?

    Mi kuna demu nilikuwa nadate nae, kuna siku akanambia ana shida na elfu 50 ilikuwa katikati ya mwezi basi siku hyo nilikuwa na elfu 20 nikampatia nikamwambia shika kwanza hii hyo elfu 30 nitakupa mwisho wa mwezi ambapo ni kama wiki moja itakayokuja. Akaniambia hii elfu20 nachukua na naomba...
  15. Mbalamwezi1

    Mume wangu kaniacha kisa nimemtukania mama yake, nataka kujiua Nipeni ushauri

    Ni afadhali ujiue mwenyewe mapema kuliko kusubiri akuue mana anaweza kukuua kikatili ile kinyama yani!!
Back
Top Bottom