Search results

  1. T

    mwenye material ya CPB ya TIOB

    mwenye ayo materials anaisaidie jamani nataka mwezi january ili may nifanye
  2. T

    NBAA November exam results out

    japo watu wamefail sana wahusika cheki kwenye web yao
  3. T

    When ovulation resume after delivery

    My wife one month ago delivered a baby and she is afraiding of conceiving again.Is it possible that to happen such earlier?
  4. T

    Devotha Minja wa ITV Morogoro

    Nawapongeza sana CHADEMA kumteua huyu dada Ubunge Viti Maalum anastahili kwa kweli maana alikuwa jasiri kureport habari ambazo zingemtia matatani. Tutammiss sana wapenzi wa ITV.
  5. T

    Mke wangu amekuwa akiniwekea dawa kwenye chai

    Nimekuwa nikiambiwa na kijana wa kazi kuwa mke wangu huniwekea dawa kwenye chai.Nimefanya utafiti na kubaini kuna ukweli. Hivi nifanyeje? Nimuache nashindwa nifanyeje. Advice please stop jokes
  6. T

    Nini tafsiri ya ndoto hii?

    Mimi siyo mtumiaji wa ndege kama chombo cha usafiri sana ila chakushangaza jana usiku nimeota tumepanda ndege ile ina take off kama dk tano tukiwa tunalikaribia ziwa kama mita 20 ikaanguka. Ila wote tukanusurika nikawa namshukuru Mungu ndotoni nakuwaza ingekuwa imezama kwenye maji tungekufa...
  7. T

    Nani ana fans wengi humu?

    The King Ally Kiba fans' special thread, Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page) Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page) hata kwa hili inadhibitisha kuwa watu uwa wanamchoka mtu na kumshabikia mwingine na unavyo ona followers weng ndo...
  8. T

    Umechoka kutafuta kazi? Jaribu njia hii ya maombi

    Neno la Mungu linasema watu wangu wanateseka na kuangamia kwa kukosa maarifa. Kama umekosa ajira kwa muda mrefu hadi umehasi imani yako na kwenda kwa waganga fanya haya utakuja na ushuhuda very soon. Weka utaratibu kila siku saa tisa au nane pakiwa shwari kabisa uwe unaamka na kutumia dakika...
  9. T

    Kwa wanandoa tu

    I must have sex with ma wife every day unless she is sick or mp, i have tried to investigate ma friends but most of them refused to do it everyday so is normal or something is wrong. Stop jokes friends
  10. T

    jamani kwa anayesoma CPA na yupo bukoba

    jaman kama unasoma aya masomo na upo bukoba tusaidiane au atakama husomi ila unajua mtu aliyepo huku anayesoma au kufundisha aya masomo nisaidie.be blessed
  11. T

    Kwa anayejua anisaidie

    kuna rafiki yangu kasoma sheria anataka asome masters ya education kuna kaka kaniambia eti anaweza kupewa postgraduate diploma in education na masters at the same time is it possible friends?
  12. T

    The power of God for those unemployed!

    nimetafuta sana kazi bira mafanikio tukaamua mimi na mchumba wangu tuwe tuna amshana saa9 usiku kwa maombi maalum,ndugu zangu Mungu kajibu haraka nimeitwa kama sehemu tatu amakweli binadamu anateseka kwa kukosa maarifa kidogo,try the power of lord
  13. T

    Kwa wanaosoma CPA module E mlioko Morogoro

    Kwa wale mlioko Morogoro Mjini ningeomba mnijuze wapi kuna review classes za CPA na kama kuna watu naweza discuss nao just naomba tuwasiliane 0686399397. Thanks in advance and nice time
  14. T

    hoja zisizojenga MMU nibora tuache jaman!

    ndugu zangu lengo la mmu nibora liwe kujenga na siyo kumsaidia lucifer kuupoteza ulimwengu!! utakuta mtu anaomba ushauri mambo ya ngono hata siyamsingi na mwingine anajicfia kwa ayo,na mwingine ana amasisha watu watongoze wake wa wengine nakusodomize
  15. T

    wenye uzoefu na biashara ya kitimoto mzaha tuache jaman

    ndugu zangu nipo morogoro naitaji kufungua biashara ya kuuza kitimoto ningeomba wenye uzefu mnisaidie nijue mambo ya msingi yakuzingatia na kama kuna mtu wa morogoro mjin anisaidie jinsi ya kupata walipo kiraisi.thanks in advance
  16. T

    iv mtu kupata kazi ndo inakua ivi?

    kuna jamaa yangu fulan kahusle muda fulan then kapata kazi sehemu,kabla ya hapo tulikua tunawasiliana nakutiana moyo,siku moja nilimuomba msaada kidogo akawa hana,sasa tangia hapo ata nikimcall cm hapokei,ndugu zangu tusiwe tunasahau tulipotoka jaman
  17. T

    ivi kukidhiri ngono before marriage kana kwamba hata siyo dhambi nini kifanyike

    inashangaza siku izi ata mzazi anaijiita mkristo anajua fika bintiye au boy anatembea na mtu et uchumba2 na anafurahi bila kukemea! watu wanawaita wazinzi shem!! chakushangaza binti mmoja kapata mchumba ye adai awez olewa bfore ....nn kfanyke
Back
Top Bottom