ESCROW zilikuwa pesa za UMMA au za yule mwizi aliyekuwa analindwa kwa nguvu zote na CCM??
IPTL mwizi alilipwa fidia hakulipwa???
Tafakari kisha fikiri sawa sawa. CCM ni ile ile tena hii ya sasa kaongezeka na Bashite.
Na kweli ningekuwa nimekukashifu kwa kukufananisha na raia wenye hadhi ya mbinguni.
Mapepo yote sehemu yao ni pale lumumba kwa genge la watekaji wa raia wema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.