Search results

  1. S

    Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa Amani katika Maziwa Makuu

    Naamini jamaa ni MGONJWA. Yaani jamaa kaamua kuitelekeza taasisi ya u-Rais kiasi kwamba amejigeuza mjumbe wa kuhudhuria mikutano tu. Hivi kumbe Balozi Ombeni naye ndio wale wale walio jazana Magogoni lakini hakuna tija! Kinachoo onekani ni kwamba jamaa huwa anakuja kubadili suti na kisha...
  2. S

    Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Tatizo lako huwa una leta mada ukisha toka "UWANJA WA FISI" usiku wa manane. Hivi mwenyekiti wako anaongoza watu wangapi walio mzidi elimu? ingekuwa hivyo basi taasisi zote duniani zinge ongozwa na ma-Profesa. Mbona umetuwekea CV yako hapa lakini kila uchao huwa una toa PUMBA tu. Kiasi kwamba...
  3. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mara ang'olewa. Mbowe aendesha kikao cha kumng'oa

    CHADEMA chama nyingine bana. Hawalei KENGE hata siku moja. Ukileta za kuleta ni za uso tu. Kama ime kuuma si mumchukue kwenye chama lenu ambalo kila mtu ni Kambale!!?? Maana hata Le Mutuz kagaiwa uongozi juzi, sasa hivi naye ni Kambale. Anamtisha JK eti asinge saini Muswada wa mabadiliko ya...
  4. S

    Ujio wa Mwigulu Nchemba,nyumba ya katibu wa CHADEMA yachomwa moto

    Hili ndilo tatizo la KUBINAFSISHA AKILI! umesha ambiwa kwamba Mwigulu amekuwa na tabia ya kumtishia huyo Katibu aliye chomewa nyumba. Kipi ambacho unashindwa kumuunganisha Mwigulu na hilo tukio?
  5. S

    Kifo cha CCM kimetimia

    Kiongozi! T 2015 CDM ndio suluhisho.
  6. S

    Kifo cha CCM kimetimia

    WaTanganyika wenzangu. Ni wakati muhimu sasa tukatambua kwamba, kwa miongo mingi ya utawala wa serikali ya CCM, nchi imekuwa ikiendeshwa kama taasisi ya watu binafsi. Chini ya uongozi na himaya ya CCM na serikali zake, Tanganyika imekuwa ikifisadiwa huku waTanganyika tuki dhulumiwa katika...
  7. S

    Kikwete ajibu swali la JamiiForums kwenye Mkutano na Cameron London, UK

    - We don't fight them - We had ........ ! Means we don't have them now??? - We ....................... Hivi miaka yooote hiyo hata kujifunza kiingereza ameshindwa, kazi kupoteza muda wa waTanganyika kwa kuzurura tu!!?? Anashindwa na Kabila alipo kuingia madarakani alikuwa hajui kuzungumza...
  8. S

    Shamba darasa

    Kawaambie walio kutuma kuangalia upepo kwamba, huko nime wakuta wako NGANGARI na WAMEPINDA kweli!
  9. S

    Mbowe lazima akubali yeye sio CHADEMA na lazima achunguzwe

    Wetu! Aha wabigha he goshi avae. Vantu tuenda idhanga ishaa ledi le therire, vangi vetuetia kija!!?? Tehena kutheka na Nkima/Nkoo.
  10. S

    Pendekezo: Dkt Kitila Mkumbo awe mrithi wa Dkt Slaa

    Duh! Kweli kabisa. Adui yako muombee njaa!
  11. S

    JK safarini Uingereza kwa siku 4 aambatana na mawaziri 4

    Duh! Jamani! Hao wanao mualika watuonee huruma jamani. Yaani nchi ipo kwenye mtifuano wa Katiba Mpya, jamaa anaondoka!!?? Huu ni uongozi wa namna gani? Matokeo yake ndio zile hotuba za "NIMEAMBIWA", "NIMESIKIA", "ETI", n.k. Badala ya kuweka kambi Dodoma, yeye ni kiguu na njia na kusiki lizia...
  12. S

    Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

    Sunu ya CHADEMa ni pale unapokuwa MSALITI. Lazima ubaguliwe tu. Hapo ndio ninapo ipendea CHADEMA. Hakuna cha u-MWENZETU pale napo fanya usaliti. Watu tuna hasira na akina Riz alafu unaleta upuuzi!! Hatukuachi ng'o. Lazima tuku shughulikie bila kupoteza muda.
  13. S

    Mheshimiwa Msigwa ndani ya Dk 45 ITV

    Lumumba kaaazi kweli kweli! Hivi mnataka mtajiwe nani wakati alisha mtaja King Maker Kinana pale Bungeni. Tulicho kishuhudia ni wabunge na mawaziri wote wa MAGAMBA kutokwa povu badala ya kuchukua hatua, ikiwa ni pamoja na kupata sehemu ya kuanzia uchunguzi!!! Meno yamepitishwa bandarini na...
  14. S

    Jina la CHADEMA la vunja rekodi la tajwa na kuandikwa kila sekunde

    Mtachonga sana. Lakini msimamo ni ule ule. Hakuna kulea wasaliti. Heri kuwa wachache vitani lakini wenye moyo wa kupambana. Ni mbaya sana kuwa na msaliti vitani. Sio mi-CCM. Eti waziri mzima anasema Tanzania ni Muungano wa Zanzibar na Zimbabwe halafu bado anaendelea kuwa waziri. Kiongozi...
  15. S

    Samson mwigamba akiandika maelezo siku ya tukio

    Kuliko MAGAMBANI? Mbona kwenu hamthubutu kusema? RIZ MOKO anafanya anavyo taka wote kimya!!! Leo unakuja kutoa povu kisa CHAMA LISILO LEA MAKENGE limetimua KENGE mwingine! Halafu inashangaza kweli. Kila anaye fukuzwa CHADEMA mi-CCM inajifanya kusikitika kweli!! Si mfurahie kwamba mmepata...
  16. S

    Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    Wandugu! Si mna Chama lenu la KIFISADI? Si mkakipe ushauri wa bure!!! Mwenyekiti wenu ana lalamika kwamba kitapotea kwenye nyuso za waTanganyika hivi karibuni.
  17. S

    Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    Kwa hiyo tumuamini nani kati ya Nyerere na Kikwete? Au hukumsikia Kikwete akilalama kwamba mjiandae Kisaikolojia na pia kwa mtindo huu wa kiuongozi, itakuwa imekula kwenu!!?? Na kwa bahati mbaya masiko ya mi-CCM ndio hivyo yamesha kufa siku nyingi tangu Nyerere alipo kufa.
  18. S

    Samson Mwigamba: Nitayasema maovu yote na nitawachukulia hatua kisheria wote walionipiga

    Hangaika na CCM yako. Povu lote hili la nini? Kama adui yako ana teswa na njaa si ufurahi basi!! Kuuuuutwa ohhh CHADEMa wamepigana, ohhh Mwigamba sio mchaga, oohhh sijui .......!!!!! Au hujui kwamba duniani kote lazima chama cha siasa kina chimbuko lake na mahali kilipo jizatiti? Tatizo...
  19. S

    Samson Mwigamba: Nitayasema maovu yote na nitawachukulia hatua kisheria wote walionipiga

    Na ni kwa nini kama ni kiongozi anaye jiamini alitumia ID fake kutoa shutuma hizo? Huu ndio tunaoita "KIONGOZI WENYE INDA". Kitu ambacho lazima CHADEMA wahakikishe mzizi wake unakatwa pindi muda muafaka unapo timilika, na sio kungoja eti vikao kama vya Dodoma na mi-CCM.
  20. S

    Samson Mwigamba: Nitayasema maovu yote na nitawachukulia hatua kisheria wote walionipiga

    Kiongozi! Hapa ndipo ninapo ipendea CHADEMA. Hakuna kulea mtu mwenye INDA wakati waTanganyika tuna shauku ya mabadiliko. Hata kama ni kiongozi lazima atoswe tu. Hayo maovu ya CHADEMA alikuwa anasubiri nini kuyasema hadi atimuliwe? Huu ndio utofauti kati ya CHADEMA na mi-CCM. Likitokea tatizo...
Back
Top Bottom