Search results

  1. G

    Udini Wizara ya Elimu

    Upo sahihi dawa ni kufanya kampeni kwa nguvu zote JK asipate second term
  2. G

    Udini Wizara ya Elimu

    Wizara ya Elimu inayoongozwa na Alhaj Jumanne Maghembe (MB) akisaidiwa na Hajjat Mwantum Mahiza (MB) hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya upendeleo hususan katika ugawaji wa Scholarship za kwenda kusoma nje. Katibu mkuu wa wizara hii ni Alhaj Khamis Dihenga Jamaa yangu wa karibu wizarani...
  3. G

    Pinda azidi kushangaa

    Pinda bado haja get over na shock ya kuwa PM
  4. G

    Obama amemuumbua Rais Kikwete

    Nimesoma hiyo article sijaona mahala JK "alipoumbuliwa"
  5. G

    Kuapisha viongozi

    Bora wawe wanaapa kwa kushika katiba tu
  6. G

    Matawi ya CCM Uingereza

    Hivi CUF si wana wanachama wengi UK, kwanini wasifungue na wao? alie juu mfuate juu usimngoje chini!
  7. G

    Shahada za kura 2010 kuchapishwa nchini

    Aiyaaah tumekwisha! wataleta ile mitambo yao ya kichina
  8. G

    Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

    Tatizo la Mbagala kuna paka wengi hao Panya watakuwa kitoweo huko
  9. G

    CCM ina haki ya kujivunia ujenzi wa UDOM

    Hakuna cha kujivunia UDOM ni skandali za kuajiri vihiyo kutoka Kenya na India tu
  10. G

    Mbunge kortini kwa kumkashifu Kikwete

    Hao Polisi wanam haribia JK
  11. G

    Pedeshee Abdul Mteketa na ubunge Kilombero

    Hakuna mwenye hati miliki ya jimbo kama ana nia ni haki yake agombee tu
  12. G

    Kashfa nzito ya vigogo ATCL

    ATCL = Shamba la bibi
  13. G

    Ukahaba Wetu Unatuponza!

    Rev hilo neno kali mno hakuna m-badala wake?
  14. G

    Jengo jipya la ubalozi DC - Dola milioni 10?

    Mbona hamshangai Spika Sitta kukodiwa nyumba kwa milioni 10 kwa mwezi Dodoma? Au kwa kuwa ni "mpiganaji"
  15. G

    Urais CCM balaa

    Habari iumejaa udaku mtupu, sijui vyanzo vya kuaminika, sijui mtu ambae hakutaka jina lake litajwe, sijui uchunguzi wa gazeti letu nk haya ni mambo ya kutunga na kufikirika zaidi kuliko ukweli, lakini kwa kuwa hayo ndio tunayopenda kusikia tuendelee kujadili upupu huu
  16. G

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    Tofauti anapinga ufisadi kama bata!
  17. G

    Sofia Simba naye ajitangaza kupambana na mafisadi

    Huyu mama ni m-pambanaji na amedhamiria kupinga ufisadi kwa msio mjua mama Simba hanunuliki ni mtu wa msimamo na hateteleki. Tatizo ili mtu awe mpinga ufisadi lazima awe na surname Mwakyembe, Selelii, Kilango, sendeka, kimaro et al. Mnaibinafsisha vita ya ufisadi kalabagho!
  18. G

    From Goatherd to Governor, Edwin Mtei's Autobiography

    Chadema mna kazi kubwa mwaka huu
Back
Top Bottom