Search results

  1. S

    Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Wewe utakuwa uliagiza gari iliyotumika, used car, sisi hapa tunazungumzia brand new cars, zero kilomita. Hata hiyo unaweza aagiza pia, ila hiyo kampuni watakaokuuzia ni lazima kwanza wainunue hiyo then iwe kwamba wanakuuzia iliyotumika hata kama ni zero kilomita. Soma vizuri sera za Toyota Japan
  2. S

    Shilingi ya Tanzania sasa yaanza kuimarika dhidi ya dollar ya Marekani

    Ukipunguza safari za nje unapunguza demand ya foreign currencies and hence unaaimarisha nguvu ya hela yako ya ndani. The theory of demand and supply inafanya kazi.
  3. S

    Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Huwezi kuangiza moja kwa moja brand new vehicles from Toyota Japan ni lazima upitie kwa wakala kwenye nchi yako. Toyota Japan hawawezi kushindana na mawakala wao wenyewe. Kwahiyo serikali kununua magari yake kupitia kwa wakala ni sahihi kabisa. Hii ni taarifa tu
  4. S

    Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Ahsante sana kwa kujua kutunga uongo. You are a real liar.
  5. S

    Mmeoana,mnaishi pamoja... Nasasa unahisi mapenzi yamekweisha

    Itategemea kama hutakuwa na mchepuko
  6. S

    Kama hujawahi kupiga Punyeto wewe hujakamilika

    Inapunguza hatari ya kupata HIV na vile vile matumizi ya pesa kuhonga wanawake
  7. S

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    umenena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. S

    Gari kununua Uingereza mil.20 kulitoa Tanzania mil.27!

    Nchi haiendeshwi bila ushuru, kodi. Please go ahead pay ASAP
  9. S

    Dr. Benson Bana kweli anakidhi vigezo vya kuwa mwenyekiti wa waangalizi wa uchaguzi Tanzania?

    Hii ndio tabia ya wahaya, kujikomba, kulamba wakubwa miguu, unafiki mkubwa. Aibu tupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Lakini this year, amekwisha kabisa
  10. S

    Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    Sikubaliani na wewe, konyangi inauzwa kidogo sana huko kenya. Utakuta duka kama Nakumatt wana chupa kumi tu za konyangi. Mbona husemi kuhusu maziwa ya kenya yaliyojaa hapo Tanzania lakini hakuna hata kopo moja la maziwa ya Tanga Fresh huko Kenya, au Uganda, au Rwanda? Nchi bila viwanda ni sawa...
  11. S

    Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    Great analysis! Tunataka watu kama hawa sio vibaka wa habari
  12. S

    Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

    JPM anapumlia mashine inayoitwa JK
  13. S

    Kwanini Guninita anatangatanga!

    Wewe je, umetulia?
  14. S

    Wakati umefika wa mabadiliko tanzania

    wameishaaondoka mbona
  15. S

    Wanaume wengi wa Tanzania ni mianaume suruali

    Naona wewe mwana JF una upungufu kidogo wa hoja. Kwa hii maada umepata 0%
  16. S

    DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

    Sio kweli kuwa ni Tanzania pekee dstv ndio bei kubwa, bei zimepanda nchi zote ambako dstv iko. Mtu unaweza kuwa unabadilisha bundle kulingana na mahitaji na wakati, kama wewe ni mshabiki wa ligi ya uingereza, sasa hivi inakaribia mwisho wa msimu, hamia bundle la bei rahisi mpaka mwezi wa nane...
  17. S

    Nawadharau sana wanaume wenzangu wa kiafrika wanaokula vitu hivi

    Huna haja ya kuwadharau, wewe acha kula hivyo vitu kama wewe.
  18. S

    Mauaji ya walinzi wa Bonite: Mengi atangaza milioni 50

    Your feelings and responses are disgusting and I do not think any human being will agree with you. Shame on you! If were you, would have burried your relative without knowing who killled him/her? Let justice takes its course. Meanwhile, shut up
Back
Top Bottom