Search results

  1. F

    Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

    Hata mimi aisee,yaani kama shori ananipiga mizinga najiona very secure na mali zangu kuliko yule anaejitia kila kitu anafanya mwenyewe.
  2. F

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Acheni hizo story zenu za Nsibirwa na Lumumba. Tupeni hoja za huyo jamaa wa Ludewa hapa.
  3. F

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    "SHEREHE za kusimikwa kwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe zilitikisa mji wa Ludewa mkoani Iringa baada ya wana CCM kutoka kata zote 22 za wilaya hiyo kushiriki huku wakiwa na furaha kubwa. Shamrashamra hizo zilipambwa na wanaCCM waliokuwa...
  4. F

    Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Huyo usijekuta kishawahi kumegwa na hilo dingi sasa kapata dogo mwenye kisu pia kwa hiyo anamwona babu dingi wa watu kama mkosi tu.
  5. F

    Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Upo makini mkuu,nimekukubali kwa kuongea ukweli.
  6. F

    Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Kwenye bold hapo. Nimecheka sana...hahahaha
  7. F

    Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Ndio hivyo sasa tutakuja kuzipata wakati tushakua na umri kama wa huyo jamaa anaeambiwa ""we ujana uanze na nani uzee umalize na mie""
  8. F

    Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Kama kweli alikusudia kusema hivyo basi vijana neema itakuja upande wetu. Ila wanawake wengi mkuu wanataka wanaume ambao eti wenyewe wanasema wako stable ktk maisha. Sasa mpaka mtu anapokua stable inamaanisha ujana ushaisha ndio anafikia stage hiyo ya kuelekea uzeeni. Vijana wenzao hatuwezi...
  9. F

    Scientist who masters the Queen`s language

    "Although Professor Hoseah Kayumbo’s primary task is to teach Biology and related subjects at the University of Dar es Salaam, he and his colleagues have taken the added task of improving the quality of English writing skills of biology students they teach. According to him, the standard of...
  10. F

    Inapendeza zaidi kama...

    Hiyo naikubali, kama dada unajiheshimu jianaume litakujaje tu na kuanza kukupa buku 10? Lazima jamaa aliona hao madada wamekaa mkao wa kupokeapokea hela za wanaume ndio maana akawapa,nao bila aibu wanachukua tu. I'm afraid wakiwa broke hudiriki hata kumbip kumwomba hela. Tupo bongo bana,twayajua...
  11. F

    Chama Kipya: New York Metropolitan Tanzanians Community

    Tatizo la watu kama hawa na wengine wanaojipenyeza kupata connections za ubalozi wanapenda sana kujitia kuanzisha vitu vya waTZ waishio nje wakati lengo ni kujinufaisha wenyewe binafsi. Cheap popularity ndizo zinazowafanya waongee hata vitu visivyokua na mshiko. Wanafikiri mawazo yao tu ndio...
  12. F

    Inapendeza zaidi kama...

    Itapendeza kama hao waliokua wakila hizo buku 10 za mshikaji wakamtafuta awamege ili kukamilisha nia yake kwao. Itapendeza wakishamegwa waje waseme hapa tujue mission accomplished!
  13. F

    Kwa nini waalimu wanadharaulika?

    Hivi wenzetu waalimu pia wanatakiwa kulipa ada? ndio ipi hiyo mkuu? I'm ignorant of that.
  14. F

    I am sorry mabinti wa kichagga

    Nami nimekubwa na mkasa huu. Yaani utafikiri nilikusimulia kisa changu ukakileta hapa. Kazi kwelikweli!!!
  15. F

    Msomi ashauri kufuta cheo cha DC kuokoa gharama

    Dk. Kessy (udsm)amesema mfumo unaosababisha wingi wa vyeo katika halmashauri za wilaya, unaongeza gharama na kusababisha matatizo kati ya viongozi na watendaji. Alitoa mfano wa nafasi hizo kuwa ni Mkuu wa wilaya (DC) na Mwenyekiti wa halmashauri, na kwamba utekelezaji wa majukumu yao ungeweza...
  16. F

    Ubungo 2010: Nani zaidi, Nape au Mnyika?

    You must be genius!
  17. F

    Pinda kwenda Uswiss

    Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaondoka Dar es Salaam leo usiku kwenda Geneva, Uswisi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Kimataifa (International Telecommunication Union – ITU). Pinda atafuatana na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa...
  18. F

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Faculty of Engineering(enzi hizo)
  19. F

    Mtoto wa Rais Kikwete mlinzi wa mali za UVCCM

    Ili mfanikiwe na hiyo mission yenu inatakiwa muache kwenda kanisani/msikitini(ili msiwe mnafeel guilty/dhambi kufanya hivyo), katika somo linaloitwa maadili pateni F au zero. wenzenu wanafanikiwa kwa mtindo huo. Nanyi fanyeni tu mtafanikiwa kwa kuassume nchi nzima ni vipofu(hawaoni...
  20. F

    Ubungo 2010: Nani zaidi, Nape au Mnyika?

    He can not stand and argue like Mnyika ndio maana watu wanaquestion academic level yake. Ndipo ikawekwa kisaniisanii hapo juu yakaonekana ni yaleyale ya wanasisiem wenye PhD za vyuo visivyoeleweka. Anyway, whether alisoma Havard au Oxbridge he is incompetent before Mnyika. Mwekeni tuone muziki...
Back
Top Bottom