Search results

  1. kat.ph

    Imekaaje CDF kumpigia salute Mkuu wa Wilaya?

    Hakikua sahihi, yeyote anayempigia saluti Rais anampigia saluti DC na RC kwasababu ni wawakilishi wa Rais. Kwa lugha nyepesi ni marais
  2. kat.ph

    Imekaaje CDF kumpigia salute Mkuu wa Wilaya?

    Umeeleza vizuri ila hapo mwisho umekosea. DC sio junior kwa CDF, kwasababu DC NI MUWAKILISHI WA RAIS kwenye wilaya aliyopo. Hapo CDF anamsalimia 'tuseme' Rais wa wilaya ya Kisarawe, kwa lugha rahisi. Hata IGP anampigia salute DC kwasababu ni muwakilishi wa Rais. DC kujibu salam kwa kukakamaa...
  3. kat.ph

    Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

    Siku hizi kila kitu wanafuata TCU.... so ukiwa na hiyo 2.7 hata kama ya chuo gani wanakuchukua
  4. kat.ph

    Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

    Ameona hata akisema kuna wagonjwa milion 10 au hakuna kabisa haitabadilisha chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kat.ph

    Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

    Wewe ndio upo nyumanyuma.... hii issue sio mpya Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kat.ph

    Tujifunze: Brazil waligoma "LOCKDOWN" kwa sasa COVID-19 imewashinda wamechimba makaburi 13,000 wazika kila siku, Tanzania hatujachelewa tusifike huko

    Lakini Kenya, Rwanda na wengine kama Ghana lockdown imewashinda kwasababu mazingira yetu hayaruhusu. Ukitaka jifungie Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kat.ph

    Umuhimu wa "Lock down" na faida zake!!

    Kenya hawajafanya lockdown bali curfew.... Angalia tofauti ya population ya Rwanda na wenzake kisha uone walifanya nini ku-enforce hiyo lockdown! Kama unaihitaji jifungie na familia yako nobody will question Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kat.ph

    Life span ya tyre ni miaka mingapi?

    Lifespan ni miaka 4! Na inaweza ika expire hata kama hujaitumia.... ukitaka kununua angalia tyre utakuta limeandikwa mwaka wa kutengenezwa. Ikifika miaka 4 inakua ndio mwisho wa matumizi hata kama hujaitumia (ina expire) Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kat.ph

    Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

    Duh unajua mbojo [emoji23][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kat.ph

    Marekani na WHO wameionya Madagascar kuachana na dawa yao ya kutibu Corona

    Eti Trump ampigie simu Museven asipoker.... ingekua World news. Kila chombo cha habari kingeripoti Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kat.ph

    Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Na kwanini Kenya na South Africa pia yanaendelea? Vipi USA, Italia, Uingereza..... huko kote hawafuati? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kat.ph

    Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    Sasa mzee unataka waajiri kila mtoto na mwalimu wake? Changamoto ni kwamba wahitimu wamekua wengi kuliko nafasi za kazi.... na hii sio Tz pekee bali dunia nzima Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kat.ph

    Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

    Wakija wanalazimika kukaa siku 14 karantini kabla ya kufanya lolote.... kwa gharama zao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kat.ph

    Najivunia kuacha chuo. Kijana mwenzangu, huhitaji shahada kufanikiwa kimaisha (to be rich)

    Hongera sana. Japo pia kuna factors kadhaa zimekusaidia mfano kuwa na mjba SA na kuweza kujisomea vitabu. Wabongo wengi hawapendi au hawawezi kujisomea vitabu. Ile miaka ya chuoni umebadilishana na hivyo vitabu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kat.ph

    Siamini Mkuu wa Wilaya amejiuzia gari la Serikali la Milioni 180 kwa shilingi milioni 4

    Hakuna DC anaweza KUJIUZIA gari. Mali ya serikali inauzwa ikifika uchakavu (depreciation) sifuri. Na inauzwa bei yoyote (inakua ndogo) kwasababu value yake inakua sifuri. Wanaouza ni wengine sio DC Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kat.ph

    #COVID19 Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

    mc gregor, Sasa jamani tushike lipi? Juzi ilikua mnampongeza Museven na Kagame kuwaamrisha watu wakae ndani.... Mkamsema Magufuli kisa karuhusu watu wakatafute riziki. Leo tena mmebadilika Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kat.ph

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Aelewe wapi ndugu..... HAJAELEWA KITU HAPO! Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kat.ph

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Wanachofanya ni kuzuia lawama watu wao wakihitaji evacuation, maana imebaki ndege moja tu! Hawataweza kuja kuwafanyia evacuation plan (kuwaletea ndege binafsi) ili iwaondoe, so wanawakumbusha kama ni kuondoka waondoke Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kat.ph

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Unasemaje? Cases 85,000+, vifo 1300+ Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom