Search results

  1. Ezekiely Charlese

    Kwa marafiki wa kweli

    Samahani wapendwa mimi ni kijana, maisha yangu siyafurahii bila marafiki, please nitafute hapa 0764302787
  2. Ezekiely Charlese

    Kibinadamu hii utaitatuaje?

    Nimefika kwa ndugu kama ugenini kanipokea vyema, nikaishi hapo siku za mwanzo na kawaida limoti ya tv ilikuwa ipo hapo sebuleni kwenye kabati, cha kushangaza baada ya kama wiki ile limoti ilihamishwa makao ikawa inakaa chumbani kwa kaka. Sasa sijui tatizo ni nn
  3. Ezekiely Charlese

    Maandiko kama haya yana maana gani?

    Wala msijisumbukie mtakula nini na mtavaa nini, baba yenu yupo. Akaongezea kwa kusema,angalini ndege wa angani hawapandi wala hawavuni, hata hivo mungu huwalisha. Upande mwingine maandiko yanasema, ASIYEFANYA KAZI ASILE.
  4. Ezekiely Charlese

    Nani yuko tayari 2chat

    Hi jaman, nawatakia mwaka mpya mwema na cku nzuri nawapendeni sana
  5. Ezekiely Charlese

    Ina maana mwanamke ukimpenda sana ni tatizo au?

    Nini nifanye kila ninayejitahidi kumuonye mapenzi ya thati ananiona zoba na kunikimbia, sasa mwaka huu nabadili mchezo. Nimechoka kuumizwa ngoja na mm niumize 2one kama ni fresh hamna kupenda tena mm ni mzee wa nje ndani mguu mmoja nje mwingine ndani hata akinikimbia poa ctaumia sana.
  6. Ezekiely Charlese

    Fanya kazi

    Napenda kuwashauri watanzania wote jitahidini kufanya kwa ujuzi sio fununu hii itakufanya uonekane mfanyakazi bora sio kukurupuka tu kufanya kazi usiyo na ujuzi nayo kisa unasikia wanafa hivi
  7. Ezekiely Charlese

    Kiongozi tunayemtaka

    Navyoelewa kiongozi yeyote ni sawa baba ndani ya familia kiasi kwamba chakula kikipelea baba yuko tayari kulala njaa ili familia yake washibe. So kama ww una mpango wa kugombea uongozi wowote 2015 zingatia hayo hapo juu. Hatuto mwabudu wala kumunyenyekea kwa sababu tu ni kiongozi. Kifupi hatuna...
  8. Ezekiely Charlese

    Hivi ndivyo maisha yalivyo

    Najua 2naelekea kuuaga mwaka tuaanze mwaka mpya, ushauri wangu usipende sana kila kitu utafuniwe ww umeze, ongeza juhudi uepuke misaada ya masimango kwa ndugu wenye nazo
  9. Ezekiely Charlese

    Salam wana jamii

    Hi wakuu, mko pouwa? Nahitaji kampan yenu mm mgen humu
Back
Top Bottom