Search results

  1. Mungai Msele

    Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    Habar Jamiiforums. Bila shaka kila mmoja wetu anajua sakata lililoko Chadema kwa wakati huu, Sakata hili huenda lisiishe leo,Kutokana na Kamati kuu ya Chama kuendelea kusubiria utetezi wa watuhumiwa, Lakini kinachoshangaza Katika hili, Ni kwanini Mmoja wa watuhumiwa ambaye ni Zitto, Alikata...
  2. Mungai Msele

    Watu kwa mamia washuka majiani Arusha

    Watu kwa mamia wameshuka majiani hii leo, huku wengine wakiwa na mizigo na watoto lakini kwa wakaazi wa Arusha, hawashangai kwani maeneo haya yaafahamika kwa kuwa na wasafiri wengi wanaokwenda kuadhimisha Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya Mkoani Kilimanjaro, Magari ya usafiri yamekua bidhaa...
  3. Mungai Msele

    Mashahidi dhidi ya Rais Kenyatta wajiondoa

    Katika hali ya kushangaza,Baadhi ya Mashahidi(Witnes) walioshuhudia Umwagikaji wa Damu mnamo (2007/2008 wameanza kujiondoa katika kesi iliyowasilishwa The hague iliyoko Uholanzi, Kesi hio inayofuatiliwa kwa ukaribu zaidi na nchi za Afrka, imekua gumzo pande nyingi barani Africa, Kesi hii pengine...
  4. Mungai Msele

    Habar za hapa

    habar za hapa.
Back
Top Bottom