Search results

  1. M

    Watu 20 wafa ajalini Busega

    Mwanza maeneo ya Magu
  2. M

    Watu 20 wafa ajalini Busega

    Dah Habari mbaya hii kusikia kwa siku hii ya ufufuko wa Masiah..Ila hilo basi mwendo wake unajulikana na kuna siku muungwana mmoja alisema hili basi likipiga mzinga utakuwa ni balaa. Dereva wake wananyosha sana goti na kuinunia lami. Zipumzike mahala pema roho za marehemu wasionahatia.
  3. M

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    Kwa mtajii huu naona watu wa CAG watakuwa wameneemeka sana huenda kila wanapokwenda kufanya uchunguzi bahasha nene wanatoka nazo. Ila yaonekana dhahiri hizi tuhuma zina ukweli ndani yake...
  4. M

    Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

    Alikuwa walu walu sana!! mwache aje kuendelea na kipindi chake cha EATV
  5. M

    Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

    Wacha atoke tu mana alikuwa anatutia aibu tu afu alitaka awepekee tu kwenye nyumba ya kaka mkubwa na mwenzie atoke..Atakuwa amesaidia kupunguza washiriki kabla ya muda uliopangwa..hata huyo Luclay nae anaweza kutoka mana ni radical kweli
  6. M

    TORRES: Happy to be Blue!

    Kikombe cha sukari hakiwezi kubadilisha ladha ya maji ya bahari! Hata sikio la kufa huwa halisiki dawa asilani!!..Ngoja tuone pimajoto ya blues usku wa leo!!
  7. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Bora kwa ccm achukue yule mbunge wa kongwa anafaa kiasi..Bwana JOB NDUGAI...ila sitta nae anauzoefu na pia anaweza kuhimili mikikimikiki ya chama twawala. Hivi kwa upande wa wapinzani bado hawajajipanga kwa hili la uspika?
  8. M

    cheka kidogo!!

    Alikuwa na nini Cha zaidi Mfalme Sinsin?
  9. M

    Domain knowledge

    Kama mie ningetapika mpaka nione nyongo ndo ningejiridhisha then nawahi dose ya tumbo
  10. M

    Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    Kumba kisa..King Makusa akiwa na Bima Lee kuna wimbo mmoja wa zamani unaitwa Kipini cha dhahabu.. ..Magengee mengine mabayaaa..ooho mama watoto ..watu wanapokusanyikaa...wengine hufaidika...Wengine wanapotea ..Wengine huwadanganya wenzaoo .kutaka maisha ya juuu mamaaa ... Sijui yupo wapi TIZED...
  11. M

    Ukisoma hapa utakumbuka enzi zileeeeee!

    Nilikuwa napenda sana utangazaji mpira wa charlessssssssss Hilary.alikuwa anamvuto na bashasha za mpira...kweli siku hazigandi!
  12. M

    BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

    Farewell Sammi Sammi told Biggie that he was having trouble sleeping. Biggie told Sammi that the doctors report. According to the doctors Sammi was suffering from elevated hypertension. The doctor suggested that Sammi leave the Big Brother House and get bed rest. Sammi was asked how feels...
  13. M

    Elections 2010 JK: Ridhiwani hahusiki kuondolewa Bashe

    Hii ni kweli kabisa yupo kwenye WAMA!..huenda chapuo imetoka kwa mama na zengwe zaidi kwa Ridhiwan kwenda kwa Bashe..so ukiunganisha ya mama na mtoto basi baba anakuwa hana lakufanya kinyume cha wapendwa wake!
  14. M

    The beautiful game is more than just a game...Images from SA 2010 World Cup

    hapo kwenye Nyekundu mbona utata au ni population ya watu wote katika sayari zinazozunguka jua???!
  15. M

    Mandela's great-granddaughter dies

    The open ceremony begins at 2pm (1200GMT) in Johannesburg's Soccer City but former president Nelson Mandela will not attend after it was revealed his 13-year-old great-granddaughter had been killed in a car crash as she returned from the pre-World Cup concert last night
  16. M

    Wapi big screen -World Cup

    Hao ndo wananogesha mpira na kuutoboa mfuko wakati huu wa tarehe dume!!I'll watch in my local bar Le Pub Loure ndani ya Keko kuna BIG screen ambayo hata macho macho ya mlevi yanaweza kumwona vyema makoena
  17. M

    2010 FIFA World Cup South Africa

    World Cup 2010: Benni McCarthy dropped by South Africa South Africa coach Carlos Alberto Parreira has dropped West Ham striker Benni McCarthy from his final 23-man squad for this summer's World Cup. The 32-year-old, who is his country's record goalscorer, has struggled with his fitness and...
  18. M

    TENNIS Special Thread

    Giro any updates!! au hujaona jana mtoto wa kiingereza alivyostruggle kurejesha heshima kwa 5 sets. Mtu mzima wangu Fed nae kafanya kweli kwa second round.
  19. M

    TENNIS Special Thread

    Kivazi nomaa namsubiria mdogo wake kujibu mapigo ya kivazi
  20. M

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    Matusi haya ya mchana kweupe moderator huyu mtu anaachwa!
Back
Top Bottom