Search results

  1. Masika

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    Endeleeni kuchat wakuu,sisi tunafuatilia tujifunze hii biashara
  2. Masika

    Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Cool but little size,at least 1T
  3. Masika

    Pharmacy retail sales software

    Asante,ntajaribu
  4. Masika

    Pharmacy retail sales software

    Mambo zenu wataalam, Naomba msaada wa simple point of sale software ambayo inaweza ikatumika kwenye retail pharmacy/shops. Iwe na: Uwezo wa kuvuta current stock with total cost of items Kutrack item movement Naweza kuipataje? Asanteni
  5. Masika

    Ajali Segera: Basi la kampuni ya Metro lapata ajali, baadhi ya abiria wapoteza maisha

    Huna haja ya kuweka picha za vifo apa,kuna ndugu zao umu
  6. Masika

    Toyota Platz ni bei gani?

    Habari wadau. Naomba kujuzwa,foreign used Toyota Platz apa Dsm naweza kupata kwa bei gani. Je kuna zenye 4WD? Nahitaji kwa ajili ya apa na pale za apa mjini. Nasubiri maoni yenu, maana hapa ndo Kisiwani
  7. Masika

    Hiace ya kukodi kesho

    Karibu apa magomeni
  8. Masika

    Kosa la ki ufundi la katiba pendekezwa

    Nimepitia Katiba pendekezwa vizuri- Mambo mengi yaliyopendekezwa ni mazuri.Pamoja na uzuri wote,wajumbe wote wameshindwa kuona kosa la ki ufundi la kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba:- Ni kosa kwa nini,katiba ni ya watanzania wote,wenye dini na wasio nayo. Sasa kwa nini tuingize hii...
  9. Masika

    Polisi yatoa picha za jambazi sugu ambaye ni kinara wa uporaji kwenye mabenki

    Mhh? Jambazi sugu? https://www.facebook.com/ronmollel?fref=ts
  10. Masika

    Line za Tigo pesa

    Ina hela au ni line tu?
  11. Masika

    Bajaj bajaj ziko sokon bei nzuri

    Habari Wadau, Nauza BAJAJ MIGUU MITATU ZIKO DAR ES SALAAM KINONDONI MOJA NI T..BVV NA NYINGINE NI T...BKS RANGI YA BLUE ZOTE ZINA KADI HALISI,ZIMELIPIWA INSURANCE NA ROAD LICENSE MPAKA NOV 2014 NA ZINATEMBEA BEI NI TZS 2.5M KWA MOJA,MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO KWA WALIO TAYARI KUZIONA NA...
  12. Masika

    Bodaboda na bajeti 2013/2014 . Kulia!

    Siasa tu baada ya uchaguzi itarudi kama kawa chezea kura za vijana wewee! Ila vijana hawadanganyiki siku hizi
  13. Masika

    Tunauza mapazia

    No contact tutawapataje? Wekeni tangazo kamilifu
  14. Masika

    Fumigation services/waste management

    Hie I'm looking for a company which can provide the above service(s) at affordable costs in relation to the quality of services offered! Location:-Dar es salaam Contact:0713473166 Needed-Urgently Thanks Comment-Good paying opportunity-CHANGAMKIA
  15. Masika

    Nauza vifaa vyangu vya office!bei cheee

    Missing JF
  16. Masika

    TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    Rip Sajuki
  17. Masika

    NAUZA COROLLA Tsh milion 3.8

    Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza
  18. Masika

    Aloe Lips...Addding that sparkle to your lips!!! TSH 6,000/-

    Mko wapi? kabla sijapiga simu! Je vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya dawa Tanzania? TFDA act,2003?
  19. Masika

    CPU 4 sale

    Nami naitaji Angalau yenye HD 90+ NA ram zaidi ya 512 na processor 1.6ghz+ Nime ku pm kama bei itashuka nitaichukua hiyo
  20. Masika

    Nataka bajaj kununua wapi nitapata nzuri na kwa kiasi gani tshs.?

    ninayo nzuri 4 stroke ina insurance na road licence pia nimeilipia ushuru,haiitaji marekebisho yoyote,pia nimefunga mziki,bei 3.2ml tzs kama unahitaji kuiona iko moroko dsm piga 0713473166 kwa maelezo zaidi!
Back
Top Bottom