Huyo jamaa ameshamalizwa na wagombea uraisi wa sisiemu.Mwenyewe wakati anakabidhiwa majukumu ya kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba aliona keshamaliza kila kitu kumbe amekalia kisu chenye makali ya pande mbili na anajikata mwenyewe.Kwa lugha yetu ya kimawia "lIBYALE MWENE SITTA".
Tanzanians' politicians think that,they are critical thinkers compared to their subjects.They think that, only them can give the citizens the best choice.
Leadership in Tanzania is quite simple that is why every prominent political figure in the ruling party seek for it.We have January Makamba,Samwel Sitta,Wassira Nchemba,.............,...........,..............,.................,..................... the space is not enough and this is your quiz...
Nchi hii kweli tumefilisika kisiasa!Hivi kweli Wassira ni mtu wa kuzungumziwa kuichukua ofisi kuu ya nchi hii? Kweli Tanzania urais umekuwa rahisi sana kwa kila mtu.
Hakuna kipya alichosema Warioba.Hilo lichama linasubiri kuzikwa tu,hayo yote yanajulikana tangu enzi ya akina Kolimba kazi kwetu watanzania wapenda mabadiliko kuitimisha tu.
Waimba taarabu ndio waliobakia bungeni.Halafu jamaa katoa pointi za kimsalamsala kama lilivyo jina lake.Masikini yeyote yule na mtu aliyeelimika vizuri hawezi kuipenda sisiemu aka mkoloni mweusi.
Kuna wafanyakazi wa ngazi za chini nao pia waumizwe kwa hilo panga la asilimia ishirini?Nchi ya kenya ni miongoni mwa nchi chache duniani ambazo huwalipa wanasiasa mishahara ya juu kabisa.Kwa Uhuru na Ruto hiyo asilimia ishirini ni ndgo sana kwani hilo ni tone dogo kabisa la maji kutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.