Search results

  1. memory card

    Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    Salam, Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax. Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa...
  2. memory card

    Hivi mikopo ya Diploma imetoka? Niki log in wanasema wait next stage

    Hivi mikopo ya Diploma imetoka maana niki log in wanasema wait next stage Kuna mwenye amepata ujumbe wowote?
  3. memory card

    Wapi nitapata wino wa printer canon Pixma MP 280

    Wadau habari mwenye kujua nitaupata wapi au unaingiliana na printer ipi maana nilipo hakuna kabisa huku.
  4. memory card

    INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Shineray kwa Tsh. 550,000/=

    liko fresh na linapiga starter, gia 5 namba ARP. Ipo laela-sumbawanga hapa kutoka tunduma ni saa 1 tu. Mawasiliano: 0625522261
  5. memory card

    Jifunze njia nyepesi sana ya kuzuia data (MB) kuisha bila kujua

    Tafuta App inaitwa GLASSWIRE, pakua ndani ya hiyo App utaweza kujua App gani inakula sana MB zako, utaweza kublock App zote za kwenye simu yako zisitumie MB hata kama data iko on, unaweza kuset App moja tu au mbili upendavyo ndo zitumie MB. Unaweza kuweka data plan yako mfano leo utumie MB 300...
  6. memory card

    Msaada kusoma meter ya maji

    Nataka nijue kusoma hiyo meter kwa maana lita moja inaanzia wapi hapo ili nikadirie matumizi yangu
  7. memory card

    Macho yangu yanawasha

    habari madokta kwanza niseme sikuwahi kabisa kupata tatizo la kuwashwa macho kabla ila nina kama wiki macho yanawasha yalikuwa mawili nikatumia dawa kadha moja limeacha limebaki moja linawasha balaa ila ukilikuna ni full kusikia utamu embu naombeni dawa iwe ya miti shamba au ya kitaalamu...
  8. memory card

    Msaada wa kusafirisha mzigo kutoka Dar kuja Sumbawanga

    Wakuu habarini niko Sumbawanga nahitaji kusafirisha mzigo kutoka Dar ningeomba mwenye mawasiliano ya new force, majinja au sai baba maana hizi gari zinakuja huku swanga kila siku anipe Tafadhwari
  9. memory card

    Naweza kutumia wiring ya umeme wa TANESCO kuunga solar?

    Salam wakuu, nina kibanda changu nimesuka wiring ili nipate huduma ya umeme kutoka TANESCO toka mwezi wa tisa mwaka jana 2021 mpaka leo hata control number sijapewa ili nilipie mpaka umeme umepanda sio case sana!! Wakiamua wenyewe watakuja. Naomba kujua kama naweza kutumia wiring hii hii...
  10. memory card

    Utakaa kuleeeeeeee

    utakaaa kuleeeee na kina BABU TALE
  11. memory card

    Makato ya NMB siyaelewi

    Mshahara umetoka juzi tu wameramba elfu tano hata sijui ya nini na leo nimeweka hela kwa akaunti wamekata 4000 yaani hapo hata siku kumi hazijapita
  12. memory card

    Desktop yangu haina wifi

    mashine yangu haina wifi kuna namna yoyote naweza fanya ika connect wifi kutoka kwa simu yangu
  13. memory card

    Msaada: Nataka nipate jezi mpya za mwaka 2021 kwenye gemu la FIFA la 2014

    Nina game ya fifa 2014 nataka nipate kit mpya za 2021 mfano jezi mpya au hata wachezaji waje wanaotamba kwa msimu huu wa 2021. Nifanyeje wakubwa
  14. memory card

    INAUZWA king'amuzi cha Azam TV na dish lake vinauzwa

    kuna kifurushi cha Azam pure cha mpira kinaisha tarehe 7 kimetumika miezi 2 tu 0686426298 Dar 100000/=
  15. memory card

    Azam tv na tv flat 19 ya solar/umeme vyote 260000

    Ligi inarudi wadau chukueni mzigo huo vyote vipya na risiti zipo.....0686426298 Mzigo upo Dar es salaam.... kwa 260000 tu... azam nakusetia mwenyewe kwa 8000 tu ( nipe dili hilo) Hdmi pia ipo kisasa zaidi. Rejareja....tv 130000 na azam.....130000 Karibuni maongezi yapo kidogo sana. Kila kitu kipo
  16. memory card

    Computer4Sale Kwa anayetaka hii Desktop anipe 70000 tu

    nakupa CPU na MONITOR ya LG ambayo ina ukubwa wa 25"( monitor ukiplay video haioneshi vizuri lakini linafaa kwa kusomea na mambo mengine), ipo VGA, na power mbili( wire) ina ram 380( ddr 1) mb, ina slot 2 za ram tu( ram moja ina 128 mb na nyingine ina 256mb) ina window xp, mlango wa dvd uko...
  17. memory card

    Naombeni wataalamu wa mambo mje hapa

    NATARAJI KWENDA SEHEMU AMBAYO KISIMBUSI KINACHOTUMIA ANTENA HAKISHIKI NETWORK...... NAULIZA HIKI KISIMBUSI KINAWEZA KUTUMIA DISH..... nilienda kwa fundi dish wa kwanza kasema kinaweza na yeye anacho kama hiko anatumia dish...fundi wa pili ile nakitoa tu kasema hiko cha antena......pia naona...
  18. memory card

    Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

    Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana nasikia Degree zishatoka. Isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.
  19. memory card

    Eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education?

    1)eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education? namaanisha huyu awe mwalimu wa msingi lakini awe na diploma. 2) ipi bora kati ya grade A na hiyo ODPE ? 3) vyuo vinavyotoa odinary diploma in primary education viko wapi jamani mnipe mwanga 4) dogo ana EEF ataenda kweli dip...
  20. memory card

    Desktop ipo sokoni kwa 130000/= tu

    Monitor ya dell 19" ,cpu aina ya ibm,756 RAM, hard disk 20 gb, ( monitor tupu 70000/= na cpu tupu ni 60000/=) nakupa vga,power cable zote na wireless panya.linafaa sana kama huna mambo mengi kama mimi uzuri wa hii cpu unatia hata kwenye begi la mgongoni unaondoka.
Back
Top Bottom