Search results

  1. memory card

    Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    nafikiri tujikite kwenye hoja ya msingi hayo mambo ya ft or what mimi ndo niko site wakuu huu uwanja ni mkubwa kwangu imagine niliuziwa 1000000 (1million) mi nimekata hiyo miguu 20 nikala 1020000
  2. memory card

    Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    Salam, Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax. Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa...
  3. memory card

    Hivi mikopo ya Diploma imetoka? Niki log in wanasema wait next stage

    Hivi mikopo ya Diploma imetoka maana niki log in wanasema wait next stage Kuna mwenye amepata ujumbe wowote?
  4. memory card

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    chelsea inaweza kuendelea kusajiri ndo kwanza imetumia 58
  5. memory card

    Wapi nitapata wino wa printer canon Pixma MP 280

    Wadau habari mwenye kujua nitaupata wapi au unaingiliana na printer ipi maana nilipo hakuna kabisa huku.
  6. memory card

    Hivi hakuna maujanja yoyote ya kuweka Password kwenye SMS tu pasipo kutumia Applock yoyote?

    uwe una screenshot ingia kwenye setting ya secret chat tukupe vitu mzee mwezetu
  7. memory card

    Hivi hakuna maujanja yoyote ya kuweka Password kwenye SMS tu pasipo kutumia Applock yoyote?

    tumia hii app inaitwa mood sms, ni noma kwanza kama kuna namba zako za majanga unaziweka kwenye secret chat maana yake hizo namba hata watume meseji 100 halafu simu kaishika wyfe haina notification, na wala screen haiwaki na akicheki kwenye sms box kuna meseji za voda tu utazionaje hizo...
  8. memory card

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    37249129745 we tanesco samahani embu angalia hiyo mita ina deni au maana kila nikitia umeme wanasema haitoshi hela niko miono hapa chalinze
  9. memory card

    INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Shineray kwa Tsh. 550,000/=

    iwe ngapi boss ndo sawa naweza kutafakari
  10. memory card

    INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Shineray kwa Tsh. 550,000/=

    liko fresh na linapiga starter, gia 5 namba ARP. Ipo laela-sumbawanga hapa kutoka tunduma ni saa 1 tu. Mawasiliano: 0625522261
  11. memory card

    Changamoto ya kubadili aina ya maombi kwenye mfumo wa tamisemi

    kufungua mpya kwa pale itagoma itamwambia USER EXIT cha kufanya apige simu huduma kwa wateja wa reset account aanze upya
  12. memory card

    NASHIDA NA DLS 2023 PLAY STORE WANAUZA ELA SINA

    dls 2023 inabidi ulichukue playstore ndo litakubali otherwise unaelekea kuharibu Mb zako
  13. memory card

    Mitandao ya simu: Tunaomba option ya kuhamisha muda wa maongezi kwa mwenzako

    Pia wangefanya dakika tuzibadiri kuwa mb hata na sms
  14. memory card

    Mitandao ya simu: Tunaomba option ya kuhamisha muda wa maongezi kwa mwenzako

    KWA halotel unaweza kuhamisha mb kwa mtu mwingine .........
  15. memory card

    Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

    U nailed it bro uzi ufungwe na wasichokijua ni kwamba wanaona kwa macho mawili sio matatu wakibrainwashiwa kidogo tu wanaanzisha nyuzi afatilie ukweli hata u tube zipo documentaly zinaeleza vyema mfano tukio la sept 11 wanadai ni osama lakini ukifatilia mitandaoni ni michezo yao wenyewe, ISIS ni...
  16. memory card

    Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    kama hivyo unagusa tu hapo
Back
Top Bottom