Search results

  1. M

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Kwamba...Mpina ameongea kitu kizito.....hii ndio kujibu hoja!!!?
  2. M

    Mapenzi yamenishinda nahamishia mapenzi huku

    Kwa hivyo viatu ndugu yangu lazima mapenzi yakupige mweleka
  3. M

    Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Apige kioo tinted mpaka chooni angalau
  4. M

    Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Osha nywele wewe utanuka bure. Wanaume wanaosha uso kila siku ina maana ndevu hazikui?
  5. M

    Tucheze mchezo kidogo

    1.Funds 2. Marriage 3. Happiness 4.Wealth 5.Peace 6. Bee 7.Progress 8.money 9. Success......
  6. M

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Kuna watu walikushauri uende polisi, ulienda? Ikawaje? Famya urudi kwenu
  7. M

    Njiapanda: Mzee anataka turudi kijijini wakati mama anataka tubaki mjini

    Mnataka kubaki mjini je kuna namna gani ya kuendesha maisha maana umesema miradi iko kijijini na mzee amestaafu? Pesa ya kuhudumia familia mnategemea itoke wapi? Au wazee watakuwa wanajishughulisha na nini iwapo mnabaki mjini au mtalima lami...joke! Uendeshaji wa miradi ukoje huko kijijini...
  8. M

    TANZIA Mwigiziaji Mkongwe, Mr. Ibu afariki dunia

    Pumzika kwa amani Mr Ibu
  9. M

    Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

    Wewe ulivyosoma chuo ulikuwa na discussion kwa kiasi unachoambiwa!!? Kama siyo ukiona manyoya jua kuku kaliwa
  10. M

    Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Majina yote mazuri ni yake Yawhe Jehova Jire Jehova Rafa Jehova Nisi .......... ........
  11. M

    Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Kama unaenda Morogoro kwa hiyo ha hah ha!
  12. M

    Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

    Mkuu wewe mwenyewe hujiamini kubaki na huyo binti. Unataka wife akuaminije? Ebu tunza ndoa yako wewe usijeponzwa na kichwa cha chini, utaharibu ndoa yako na familia ya upande wa mkeo. Au unafikiri mkeo yeye hatongozwi huko kazini? Au anavyokulindia heshima unamuona mjinga! Kwa taarifa yako...
  13. M

    Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

    Yani kodi humo humo kwenye laki tano na vifaa tiba na wafanyakazi na kila kitu!!!? Jamani nia unayo ila mtaji bado sana jipange
  14. M

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Mimi hapa namhurumia mke wa jamaa. Usikute alikuwa anafanya mpaka kazi za ziada kusapoti familia huku akijua mwenzie ana matatizo kazini....yani wanaume jamani! Una una matatizo kazini anaona haitoshi anatafuta mchepuko, anaona haitoshi anaupeleka mchepuko wake mpaka nyumbani. Anazaa nao...
  15. M

    RickRoss atamani kufanya Collabo nyingine na diamond

    Hamisa Mobetto awe video vixen...itakuwa hatari
  16. M

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Saa hizi BM na Caryn wana watoto mapacha kiume na wakike. Wanaishi raha mustarehe
Back
Top Bottom