Search results

  1. W

    Natafuta numba ya kupanga arusha.

    Naomba contacts zake mkuu
  2. W

    Natafuta numba ya kupanga arusha.

    Mkuu sio lazima iwew njiro hata maeneo ya karibu sawa.
  3. W

    Natafuta numba ya kupanga arusha.

    Wadau natafuta haraka sana nyumba ya kupanga arusha iwe na vyumba 2 vya kulala,sebule na jiko na pia iwe self contained maeneo ya njiro/nanenane au karibu na njiro au mjini pia buget isizid 200000
  4. W

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Nakupongeza mh.lema kwa kuja na hili tena,ila nakumbusha tu watanzania na watu wa arusha wanaitaji zaidi ya kuibua scandals,tumia nguvu hizo hizo kuja na majibu ya matatizo mengi yanaowakabili vijana wa arusha na vijana wa tanzania kwa ujumla,kwani ni kweli siku ya mwisho hoja hizi zitakosa...
  5. W

    Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada

    Nashukuru mkuu kwa mawazo,
  6. W

    Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada

    Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.
  7. W

    Mwenye uzoefu na ajira world vision:msaada

    Wadau nimepiga interview world vision ila mwezi umepita naona kimya kabisa,naomba msaada kwa wenye uzoefu na ajira za world vision wanachukua muda gani kuita kazini baada ya interview. Manake presha iko juu kweli kweli na ugumu wa maisha haya.
  8. W

    Mwakyembe: Sikusinzia...

    Nahis tumelaaniwa hii nchi,mtu akifanya vibaya matusi akionesha nia na moyo wa kufanya kazi matusi tena,hata malaika aongoze taifa hili itakua bure kabisa. Na kunatabia inakua sasa Tanzania ya kikundi cha watu fulani wa chama fulani wao nia yao ni kuona mambo yanaharibika na hayaendi vizuri ili...
  9. W

    Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

    sijafaniki wa mkuu nimegogle wapi anagalia kwenye TTCl directory yao hakuna..kweli kazi maswali magumu ya hapo kwa hapo nitakua kazi kweli kama hata sijui kazi za mwajili ni zipi!!wadau msaada wenu jamani nakosa kazi hivihivi
  10. W

    Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

    Nashukuru wadau manake hii ni kaiz kwelikweli miaka mitatu bila kazi hii ndio interview ya kwanza kabisaa,mungu nisaidie,
  11. W

    Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

    ahsante wadau,je nitajua ni ya idara au taasisi gani? kwani arusha,tanga pia nimeomba kazi kwenye taasisi nyingi kwelikweli.
  12. W

    Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

    Wadau naomba mnipe msaada wa haraka jana nimepigiwa simu na namba 0272549255 nikijulishwa kwamaba leo mchana nitafanyiwa interview ya ombi langu la kazi kwa njia ya simu. Wakati hajamaliza kusema ni taasisi gani simu ikakatika aliishia kuniambia nafasi ya hr- nimejaribu kupiga siku nzima simu...
  13. W

    Natafuta fild

    mkuu ningekupigia pande lakini nikifikialia hiyo office ndio tu nimemfungulia wife na hilo jina lako napata utata kabisa,mwili unapenda ila roho inasita,sijui kwanini umejiita play boy!!
  14. W

    Usafiri wa wabunge kuelekea Bungeni Dodoma mwaka 1984! kumbe inawezekana!!

    Wada katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu,hivi hata sasa haiwezekani kufanya hivi kwa masilahi ya masikini wa taifa hili??
  15. W

    Vichwa hivi vya mkwawa(complex) viko wapi?

    Dah mi nazani tungeikuza ikajumuisha watu wa maiaka yote ndio ingekua na nguvu sana sana,au we unaonaje?manake mi naona historia ya shule hii inakufa kabisa
  16. W

    Vichwa hivi vya mkwawa(complex) viko wapi?

    Wadau!!!!!!!!wa mkwawa hakuna humu???
  17. W

    Vichwa hivi vya mkwawa(complex) viko wapi?

    dAH HAO MI SIJUI KABISA WAKO WAPI MDAU...
Back
Top Bottom